FEHEM's BAG PARTY!!!!

Groom                        :: Fehem Shabaan Mustafa
Event                          :: Bag Party
Venue                         :: Mango Garden
Color                          :: Orange & Black
Cake                           ::
Caterer                       :: Talma Caterer
Photosby                   :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
NI BAG PARTY YA FEHEM, YULE ANKAL WAKE YAHYA, TULIANZA NA SINGO, FEHEM AMEVAA AFRICAN STYLE I LOVE THIS, YEYE NA MCHUMBA WAKE WAMEVISHA NA DESIGNER IMU, ANKAL YAHYA AMSUPRISE UNCLE WAKE AMZAWADIA GARI, SHUGHULI PAMBE HAPANA CHEZEYA KATA MTI PANDA MTI, WAALIKWA WAGAIWA STARTER YA KUKU MZIMA KILA MTU UKUMBINI....

MAHARUSI WAMEVISHWA NA IMU NEW DESIGNER MUJINI........
FEHEM NA SOMO
MC
MC JAMILA KITIMTIM...
DECOR....
WAKIINGIA UKUMBINI WAZAZI
 WATU WANGU WA ZANZIBAR HAO...
WAKWE WAKIKARIBISHWA
 WAPAMBE WA FEHEM WAKISAFISHA NJIA
 ANKAL YAHYA KWA FURAHA AKIWATUNZA
 SOMO NA MWARI
 DADAZ WAKIFURAHI....
 FULL SHANGWE KWA WAZAZI
 SOMO AKISALIMIA
FEHEM AKIFICHULIWA.....
 INTRO....
AKIWATAMBULISHA ANKAL ZAKE
FEHEM NA ANKAL ZAKE
CHAMPAGNE
WAZAZI WA FEHEM MR & MRS MUSTAPHA WAKIONGEA NAYE
 FAMILY PICHA
 ANKAL YAHYA AKIENDA KUMPA FEHEM ZAWADI, DUUUH HONGERA SANA KWANI MIE NI MMOJAWAPO NINAYEJUA YAHYA NA UNCLE WAKE, TOKEA ALIPOGRADUATE...
 ZAWADI HIYOOO, BIG SUPRISEEE KWANI HAKUNA ALIYEJUA KABISA....
 MCHUMA UNAONDOKA HUO.......
FEHEM ALISHINDWA KUJIZUIA
 NAMBA ZA GARI NDIO HIZOOOOO

MAMA FEHEM AKIMSHUKURU MDOGO WAKE YAHYA, FURAHA YAZIDI...
BURUDANI
KONGA MOYO TAARAB LIVE BAND WAKITOA BURUDANI
MSANII STAR KHADIJA YUSUF
BI HARUSI AKIINGIA.....
 AKIMKARIBISHA CHAKULA CHA JIONI MCHUMBA WAKE
FEHEM AKIMKABIDHI MCHUMBA WAKE CHAKULA CHA KWAO KIGOMA...
 KEKI
 CHAKULA
ZAWADI
 SOMO FATMA MAGHOROFANI AKIMTUNZA MWARI WAKE FEHEM
 MASANDUKU YALIKUWA KIBAO, NGUO ZA MIAKA 3 HAPANA CHEZEYA...UKO JUU SOMO SHOSTI WAKE MY WII AISHA MTENGETI
 SOMO NA PAMBE YAKE.... 
 WAKWE AKIMPONGEZA FEHEM
 ANKAL YAHYA AKIMKOSHA SOMO KWA KAZI KUBWA....
 MARIAM TWAHIR, MAMA YA TALMA CATERER 
 NDOVU FAMILY...HAPANA CHEZEYA
 KI UKWELI NAPENDA ZAWADI ZA SALMA MARA NYINGI NIKIWA NAYE SHUGHULI. THIS TIME KAMPA YAHYA RETURN TICKET YA DUBAI KWA WEEK YEYE NA MTU MMOJA ZAIDI AKAMPUMZIKE SHUGHULI SI NDOGO
 MWANAIMA AKIMTUNZA YAHYA
 DA REHEMA AKIMTUNZA ANKAL YAHYA
SITTU MWASU AKIMKOSHA YAHYA
NYUSO
MRS. SEIWAAD ORIGINALLY THE ONE & ONLY
AISHA MTENGETI & FRIENDS
MY SWEET FRIEND, NAKUPENDA SANA LUTFIA, AZIZA HII ZAWADI YAKO, MASHAALAH PENDEZA
 MWARI NA SOMO
FEHEM NA DADA ZAKE
SELFIE.....
SUBIRA HAOOO
MWASHABAN NDOVU UMETOKELAZEA KAMA MZUNGU
DADA YAKE ZITO MWANAIDI & RAHMA KISMAT
FATMA MZEE, HILI VAZI LAKO CLASSIC....KAMA VILE FIRST LADY
NEY WA GOBA, KIPENZI CHANGU MIE & FRIEND
HAPANA CHEZEYA HII CREW FROM ZANZIBAR, WAMENIALIKA NIKAL RAHA MIE...NAWAPENDA SANA
KISMAT WIVES...
HAPPY BELATED BIRTHDAY RAHMA KHERI MDAU WANGU WA ZENJ...


Post a Comment

1 Comments

  1. MASHAALLAH NA IDUMU KWA FURAHA NDOA YAO
    MPK RAHAAAA
    WALIPENDEZA
    SOMO NDO ALITOKEZEA KIKWELI

    ReplyDelete