HIBAQ SINGO DAY!!!

HIBAQ SINGO, KAMA KAWAIDA YETU KABLA YA KUOLEWA KUNA MWARI KUSINGWA NA LEO NI MWARI WAKE DESIGNER BAHIYA LUMELEZI, HIBAQ NI MDOGO WAKE SHEKHA, HONGERA SANA DADA MTU SHEKHA KWA KUMPENDEZESHA MDOGO WAKO NA SHUGHULI PAMBE TU RAHA ORIGINAL LIVE BAND A.K.A USTAADH AKITUPA BURUDANI

DESIGNER WA NGUO HII NI BAHIYA LUMELEZI 0712233362
SIO DESIGNER TU HATA USOMO ANAUWEZA BAHIYA LUMELEZI AKIWA NA MWARI WAKE
HIBAQ NA WIFI ZAKE
FAUZIA, SHEKHA, HIBAQ & FRIEND
DESIGNER SOMO YAKE MWENYEWE, BAHIYA LUMELEZI
NGUO YA BI HARUSI DESIGNER BAHIYA LUMELEZI ANAPATIKANA 0713233362
SOMO NA MWARI WAO.....
HIBAQ AKITOLEWA NJE NA SOMO ZAKE BAHIYA & FAUZIA
HONGERA BAHIYA TENA MWARI WAKO PAMBE, MASHAALAH 
SOMO MSAIDIZI FAUZIA BENBELA AKIONGEA KWA NIABA YA SOMO
 MWARI AKIFICHULIWA
BURUDANI 
RAHA ORIGINAL LIVE BAND
 HIBAQ AKITUNZWA...
 SHEKHA AKIENDA KUMTUNZA MDOGO WAKE, MASHAALAH.....
 NAMUONA NAJMACUTE KWA NYUMA...
 HII IMENIKUMBUSHA HARUSI YA FAIZA KANYAU, MAANA WATU WAMEPANGA MSTARI AKIVISHWA MWINGINE ANAMVUA ANAMVISHA YAKE ZINASHINDANA UZITO  TU.....
 NI SET HONGERA SANA SHOSTI WANGU
 UMEONA EEEH
SHINGONI MHHH MADINI MADINI
BRACELETS
PETE
AL-HUD NA MAZAGAZAGA YOTE YA KUJIFUKIZA
WIFI WAKITOA ZAWADI
 SHEKHA AKITUNZWA
MAHELA HAPANA CHEZEYA WA MJINI, UNAYECHEKA NA KILA MTU HACHAGUI HABAGUI...
NYUSO
SHEKHA & HIBAQ

SISTERZ

Post a Comment

0 Comments