KASSIM & YUSRA WEDDING RECEPTION DAY!!!

Groom                        ::  Kassim
Bride                          :: Yusra
Event                         :: Wedding Reception
Venue                        :: Msasani Tower
Color                         :: White & Gold
Makeup                     :: Laviemakeup
Cake                          :: Occasional Event
Caterer                      :: Ancle K
Décor                        :: Occasional Event
Entertainment          :: Tanzanite Live Band & TID  
Photosby                  :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
Date                          :: 13 December  2015
CONGRATULATIONS KASSIM & YUSRA YOU DID IT, WADAU SHUGHULI ILIKUWA NZURI SANA MPANGILIO SI ULE TULIOZOWEA, MAIN PART  ILIKUWA NI KULA, KUNYWA NA KUCHEZA MZIKI, TANZANITE LIVE BAND ILITOA BURUDANI, LEGEND TID NDANI YA NYUMBA AWABURUDISHA WAALIKWA OVER THE MAXIMUM...

BROTHERZ
YUSRA & FRIENDS
MR & MRS MANZI WAKIWA NA KIPENZI CHAO YUSRA, HONGERA YUSRA UMEPATA WAKWE WANZURI, WENYE MAPENZI, HEKIMA NA BUSARA ZAIDI NI WASHIKA DINI.
HII NI ZAWADI YANGU KWENU, FOR SUPPORTING & RESPECT MY WORK!!!
YUSRA & KASSIM PHOTO COLLAGE
SWAGGAZ "JUST MARRIED"
DECOR.....
DECORATION ILIKUWA SIMPLE & CLEAR..
MC-FIKIRI
MR & MRS MANZI WAKIINGIA NA FAMILIA...
 WAKWE WAKIINGIA...
YUSRA & KASSIM WAKIINGIA....
ABDULKARIM MZEE WA SELFIE, MDOGO WAKE KASSIM
DUA YA KUFUNGUA SHUGHULI
CAKE
 HAPPIEST FAMILY, IKOTIKE..
CHAMPAGNE

BURUDANI
 TANZANITE LIVE BAND WAKITOA BURUDANI
YUSRA & KASSIM WAKIFUNGUA MZIKI 
WAALIKWA WALICHANGANYIKIWAJE KUMUONA TID NDANI YA NYUMBA
 MAMA MANZI AKITUNZA WEKUNDU WEKUNDU
TID AKIWAPA RAHA....
TID AKIWAPA RAHA MAHARUSI
CHAKULA
NYUSO 
WEDDING SELFIE
MWANANA MANZI AKITAMBA NA WANAWE
MAMA NA MWANA
SISTERZ
MDOGO WAKE MWANANA MANZI
BIBI YAKE KASSIM
MWANANA MANZI  & FRIENDS
WEDDING SELFIE
FAMILIA
RED CARPET
BANNER DESIGN BY MASHUGHULIMEDIAPost a Comment

0 Comments