MAULID & LUNCH KASSIM & YUSRA!!!

Groom                       :: Kassim
Bride                          :: Yusra
Event                         :: Maulid & Lunch
Venue                        :: Shaaban Robart Hall
Color                         :: Red & Yellow
Makeup                     :: GnG Saloon
Photosby                  :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
Date                          ::11 November 2015
MAULID & LUNCH YA YUSRA NA KASSIM, MAULID YALIFANA KWELI KWELI, BAADA YA MAULID NI LUNCH ILIYPSINDIKIZWA NA ZANZIBAR ONE TAARAB LIVE BAND TOKA ZENJ, RUKIA RAMADHANI NDANI YA NYUMBA MWANANA MANZI UKO JUU UMETUFURAISHAJE, MAHARUSI WAMEPENDEZA SANA

DECOR....////

 MC - JAMILA KITMTIM
 MAULID
 QIYAM
 CHAKULA CHA MCHANA
 BAADA YA LUNCH YUSRA AKITOKA....
I LOVE THIS PICTURE....
YUSRA AKIINGIA NA MUME WAKE
YUSRA NA MAMA ZAKE
YUSRA NA MAMA MKWE, MWANANA MANZI
 YUSRA NA MAMA 
 YUSRA & KASSIM NA MAMA ZAO
YUSRA & KASSIM WAKIFICHULIWA....
 MWANANA MANZI AKIWAFICHUA WANAWE SHURTI KWA DOLLAR $ HAPANA CHEZEYA
MWANANA MANZI NAKUAMINIA AKAWAPA CARD YA CONGRATULATIONS
BURUDANI
ZANZIBAR ONE WAKITOA LIVE BURUDANI
RUKIA RAMADHANI NDANI YA NYUMBA, HAPANA CHEZEYA MWANANA MANZI
JAFFARBHAI AKIWAGUSA WATU....
MAMA MZAZI MWANANA MANZI AKIFUTWA JASHO MWANANA MANZI MTU WA WATU
BI MWASHAMBA & KAMPANI YAKE WAKIMKOSHA MAMA MANZI
MWAGUMBO & SHOSTITO WAKIMFUTA JASHO MAMA MANZI
KIEDE AKIMKOSHA MAMA MANZI
MWANANA AKIKOSHWA NA WIFIYE
SHANI AKIMKOSHA MWANANA MANZI
NYUSO
WANANGU  WENYEWE JASMINE NA MDOGO WAKE LOVE YOU
BI MWASHAMBA...
 WEDDINF SELFIE....
YUSRA NA MUME WAKE PAMOJA NA SHEMJI ZAKE
BIB NA WAZEE WAKE....HONGERA MAMA..
BI MWASHAMBA NA WAJUKUU


Post a Comment

4 Comments

 1. best wedding of the year wish you all the best dears, may God bless you in your entire life, also thanks mashughuli I appreciate your kazi dada.

  ReplyDelete
 2. jamani shughuli nzuri maharusi wazuri, waalikwa wazuri, make up very perfect mipangilio mizuri mungu akawajaalie maharusi uzao mzuri utakaowafurahisha watu na Mungu.

  ReplyDelete
 3. SASA HIVI UMEHARIBU KABISA BLOG YAKO JINSI VIPICHA VINAONEKANA VIDOGO

  ReplyDelete
 4. SASA HIVI UMEHARIBU KABISA BLOG YAKO JINSI VIPICHA VINAONEKANA VIDOGO

  ReplyDelete