MOHAMED ASHEREKEA BIRTHDAY NA WATOTO YATIMA VINGUNGUTI

NI YULE MOHAMED BAH ASHEREKEA BIRTHDAY YAKE AKIWA NA MIAKA 24 NA WATOTO YATIMA KITUO CHA VINGUNGUTI, HAKIKA MOHAMED UMEKUWA MASHAALAH UMEFANYA JAMBO JEMA SANA, NAFAHAMU WEWE NI KIJANA MZURI MWENYE HESHIMA NA BUSARA, I KNOW YOUR MAMA IS PROUD OF YOU, ALIKATA CAKE NA KULA NAO CHAKULA CHA MCHANA, WATOTO, AKISINDIKIZA NA MAMA ZAKE....

WATOTO WALIANZA KUMSHUKURU MOHAMED KWA KUSOMA DUA

 MARIAM PAPII AKIWA NA KAMPANI YAKE
UBAVU WA JOKHA KABOTOKA DIVERU
 MARIAM MNTAMBO NA WENZAKE WALIMSINDIKIZA MOHAMED
 MOHAMED AKIWA NA MAMA ANAYELEA WATOTO HAO KITUONI
WAKILA CHAKULA CHA MCHANA NA MOHAMED, MOHAMED AALIJUMUIKA PAMOJA NAO NA KUWANAWISHA MIKONO MASHAALAH
MOHAMED AKIWANASHA WATOTO MIKONO, INATIA IMANI SANA
MOHAMED BAH AKIKATA CAKE NA WATOTO
MOHAMED's BIRTHDAY CAKE

 MOHAMED ALITAMANI KUWALISHA WATOTO WOTE KEKI
WATOTO HAWA WOTE WANAHITAJI MISAADA
MOHAMED AKIMLISHA UNCLE WAKE MZEE DIVERO
MARIAM PAPII AKIMLISHA KIJANA WAKE
MOHAMED AKIMLISHA MAMA ANAYEKAA NA WATOTO
WATOTO WAKITOA PESA ILI ZIWASAIDIE WENZAOPost a Comment

3 Comments

 1. Mashaallah jazzakumullah kheyr.
  Ni jambo zuri umelitenda kusherekea na watoto yatima.allah atawalipa na allah daima anatimiza ahadi kama ilivyotajwa katika quran.

  Ni washauri vijana wetu wenye kuipenda dunia mno na kusahau kama sisi ni marehemu watarajiwa.mtu anakatika mauno au anavaa nusu uchi akichaguwa kufurahisha dunia na kumkasirisha aloumuumba.

  Naomba allah awahidi ummah wa mtume mohammad saw.asitujaalie tuipende dunia paka tukasahau kama iko siku utatamani hata kurudi duniani dakika mbili usawazishe matendo mabaya uloyafanya.

  Huu mfano mzuri bwana hapa alivofanya ninaomba liwe endelevu kila moja tuwakume watoto yatima.

  Namuombea mungu anayewalea wtt hawa ampe nguvu na afya na uvumilivu na amhifadhi na ampe furaha amjaalie pepo

  Naomba allah wajaalie watoto hawa awajalie elimu,afya,furaha,kila la kheri,awape mafanikio na awaepusha na fitna za dunia na shari na awalinde katika kila hatua na awape subra na awapambe na tabia njema.

  Ameen.

  ReplyDelete
 2. Mola azidi kuwafungulia kila la kheri. awasaidie na wengine.

  ReplyDelete
 3. MASHAALLAH MOLA AMZIDISHIE NASIE ATUKUMBUSHE HILI. AMENITIA MOTISHA KIJANA MDOGO KUWAKUMBUKA YATIMA
  NAAKUZIDISHIE UMRI MOLA TENA AKUFUNGULIE MEPESI ILI UZIDI KUWAKUMBUKA YATIMA

  ReplyDelete