ROSE's KITCHEN PARTY!!!

Bride                           :: Rose
Event                          :: Kitchen Party
Venue                         :: Water Front
Color                          :: Purple, Yellow & Gold
Cake                           :: Dots Cups
Dressed-by                :: Beauty Point
Photosby                   :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
Date                            ::04 December 2015
ROSE'S KITCHEN PARTY, ROSE PENDEZA SANA SANA, BI HARUSI MREFU, HATARI UMETISHA MAMA MZAZI WA BI HARUSI, KAMTUNZA BINTI YAKE MILLION 10 CASH MONEY, WATU WALICHANGAMKAJE MAANA NI KATA  MTI OTESHA MIWILI...

PENDEZA SANA.....
AUNTY AKE ROSE PENDEZA SANA
BEST FRIENDS FORVERE
MAMA MZAZI ASHA POMPO
DECOR....../////
 MC - SOPHIA MISHCAFE
MAMA MZAZI ASHA AKIINGIA.....FULL NAIJA SWAGGA
 ROSE AKIINGIA....MASHAALAH
 BIBI AKITUONGOZA KWA SALA...
 BFF WAKE ROSE.....
M-KITI AKIKARIBSHA WAGENI
INTRO......
WAZAZI WAKIONGEA NA ROSE....
CAKE
 CHAMPAGNE
MATUNZANO.....
 MATUNZANO
 MAMA AKIJIANDAA KUMTUNZA BINTI YAKE KIPENZI MILLION 10 HAPANA CHEZEYA ASHA POMPO...
 MAMA MZAZI AKIFUTWA JASHO..
HONGERA SANA NI HAKI YAKO SHUGHULI PAMBE HATARI MAANA HII SIO KATA MTI PANDA MTI, HII NI BANDIKA BANDUA...
 MAMA AKIVISHWA TAJI LA PESA
MASHISTITO WAKIMKOSHA MAMA
MAMA MLEZI AKIMKOSHA MAMA MZAZI NA AUNTY HIDAYA ASPRO
MCHEO PESA ULINOGA HATARI....
JANE GUMBO....
SHUSHU AKIMTUNZA MAMA MZAZI WA BI HARUSI
YAP HAPANA CHEZEYA NI $$$$$$
CHAKULA

NYUSO
MAMA NA MWANA MASHAALAH
ROSE & BIBI
ROSE & AUNTY AKE
DEVOTA DIVA & FRIENDS
RED CARPET
 Post a Comment

2 Comments

  1. Jamani hongera sana rose mungu akutangulie umependeza sana and pia wewe ni mrembo,na nguo nazo nzuri bila Shaka hiyo ni kazi ya BEAUTY POINT!hatari

    ReplyDelete
  2. nzuri sana. mama wa bi harusi so charming especial kwenye picha zote nzuri. hongereni sana I like it!!

    ReplyDelete