YUSRA SENDOFF PARTY!!!!!

Bride                         :: Yusra
Event                         :: Sendoff  Party
Venue                        :: Lulu Hall
Color                         :: Red & Blue
Makeup                     :: GnG Saloon
Cake                          ::
Photosby                  :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
Date                           ::09  November 2015
YUSRA SENDOFF PARTY, BAADA ILE ROMANTIC PRE-WEDDING PHOTOS, SASA TUNAANZA NA SENDOFF NI BALAA KAPENDEZA SANA MREMBO, WADAU KAENI MKAO KUONA SHUGHULI ZAO NYINGINE..........

DECOR...///
 MC
WAKIINGIA....
WAKWE WAKIINGIA, GUESS WHO???
MREMBO YUSRA AKIINGIA
 HAPPY YUSRA....
  SALA YA KUFUNGUA SHUGHULI....
INTRO....////
 WAZAZI WA YUSRA
INTRODUCTION UPANDE WA KASSIM
 MZEE MANZI, BABA MZAZI WA KASSIM
MWANANA MANZI, MAMA MZAZI WA KASSIM, PENDEZA SANA KAMA KAWAIDA YAKO, ILA HII NI CHIBOKO
 BIBI MWASHAMBA
CAKE
CHAMPAGNE
I LOVE THIS PARTY....YUSRA AKIMTAFUTA KASSIM...
 YUSRA ALIMVISHA VIATU, I MEAN PURE LEATHER....
 THANK YOU....
 HUYU NDIO NIMEPENDAYE......
 KASSIM, AKISALIMIA...


HONGERA KWA YUSRA...
 FAMILIA YA KASSIM, MCHUMBA WAKE YUSRA WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI
MWANANA MANZI MAMA MZAZI WA KASSIM
 MAMA NA BABA WAKITUNZWA....
 YUSRA MASHAALAH BINTI MREMBO NA MWENYE HESHIMA, AKIWATUNZA WAZAZI WAKE KWA KUMLEA VINZURI....
YUSRA AKIKABIZIWA KWA WAKWE....
YUSRA NA MKWEWE MZEE MANZI
NYUSO
DADD'S DAUGHTER...


Post a Comment

1 Comments