AMINA's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                                      :: Amina Abas Mtemvu
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Danken Hall
Color                                     :: Purple & White
Makeup                                 :: Lavie Makeup
Bridedressedby                   :: Evecolletcion
Mama Dressedby                 ::Evecollection
Cake                                      :: Monica
Décor                                    :: Betty
Entertainment                      ::Khadija Kopa & Afua Sleyman 
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 17 January 2016
YES WADAU NI ILE KITCHEN PARTY ILIYOSISIMUA JIJI YA AMINA ABAS MTEMVU, NAJUA LEO NIMEKATA KIU CHA WENGI SANA BAADA YA KUWAONJESHA, SHUGHULI PAMBE SANA, AMINA MASHAALAH AMEPENDEZA SANA KAVISHWA NA DESIGNER MKUBWA EVE-COLLECTIONS, HER PERFECT MAKEUP BY LAVIEMAKEUP, WAALIKWA TUMENOGAJE NA SARE...KHADIJA KOPA NA BI AFUA WASHINDANA UKUMBINI....AMINA KAVUNJA ILE REKODI YA BI HARUSI ALIYEVISHWA MADINI UKUMBINI.. WAKWE WATIA FORA..., MAMA MZAZI AMTUNZA BINTI YAKE MASUNDUKU YA HAJA...

PURE LOVE WILL NEVER CHANGE....AMINA AND HER BEST MAMA IN THE WORLD
MAMA'S LOVE TAMIA & AMINA
AMINA & MAMA ZAKE
DECOR...///
ZAWADI
WAALIKWA WALIPATA MITANDIO...
MC-JAMILA KITIMTIM
MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBIN
BI AFUA AKIMUINGIZA MAMA LIVE...
AMINA AKIINGIA
DUA
WANAKAMATI
WANAKAMATI WAKIKABIDHI FRIDGE, WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI DOTTO MAGANGA
AMINA AKIFICHULIWA...
KAHIDJA KOPA AKIMFICHUA AMINA LIVE
KHADIJA MTEMVU AKITUNZA...
MAMA MTEMVU AKIWAKARIBISHA WAALIKWA
INTRO....
AMINA ALIMTAMBULISHA MAMA YAKE KWA MANENO MANZURI SANA YA KUMSIFIA MAMA
MAMA ALISHINDWA KUJIZUIA..
CAKE
 CHAMPAGNE
MCHUMBA AKIINGIA KUMSHOWER MADINI AMINA
AMINA AKIMPOKEA MCHUMBA WAKE
AMINA AKIMTAMBULISHA 
AMINA AKIMKARIBISHA MASOUD CHAKULA CHA JIONI
AMINA KAFUNDWA KWELI KWELI HONGERA SOMO MWARI KAWIVA KAINGIA JIKONI KUMSAVE MCHUMBA, SHURTI KWA KOFIA...HII NI DAKEN HALL
BURUDANI
KHADIJA KOPA BILA KINYONGO AKIMTUNZA BI AFUA
ZAWADI
ALIANZA MCHUMBA KUMGARISHA AMINA KWA MADINI, HII KALI
MCHUMBA UMETISHA UMEONA HIZO BANGILI
I LOVE YOU....
MCHUMBA AKAMVISHA PETE
WIFI AKIPELEKA ZAWADI
ALIANZA NA CHENI
WIFIYE AMINA AKIMVISHA BRACELET
MAMA MKWE AKITOA ZAWADI ZAKE
MAMA MKWE AKAMVISHA PETE
AMINA ALIVISHWA MADINI SI MCHEZO....HAPA MAMA MKWE AKIMVISHA CHENI YENYE JINA LA AMINA MASHAALAH
WAKWE WAKIONGEZA ZAWADI
MAMA MKWE HAPANA CHEZEYA
SOMO AKIPELEKA ZAWADI ZA MWARI WAKE
 AKAMKABIDHI GAS COOKER
 SOMO AISHA KAPUYA AKIMKABIDHI WASHING MACHINE
ASANTE SANA SOMO YANGU, RAFIKI YANGU
MAMA MZAZI MH. DIWANI MARIAM MTEMVU AKIMTUNZA BINTI YAKE
MASANDUKU YA MAMA HAYO.... MACHO TU
DOTTO MAGANGA AKISASAMBUA SANDUKU...
MAMA AKIMKABIDHI AMINA SET YA MADINI, HIZO KG USISEME...
MAMA AKIMKABIDHI AMINA HATI YA KIWANJA KIGAMBONI.
HII HAPA HATI
THANK YOU MAMA
AMINA AKIFURAHI KWA ZAWADI NZURI TOKA KWA MAMA..
MAMA MTEMVU NI MKARIMU NA MWENYE UPENDO, HAPA AKITAMBUA UWEPO WAFUATAO
NAIMA MALIMA
FATMA MWINYI
MAMA MALIMA
AMINA DESIGN
MAMA KAPUYA
MDOGO WAKE KIPENZI
MAMA MZAA CHEMA AKIPONGEZWA...
MAMA MDOGO NA MKUBWA WAKIPELEKA ZAWADI
KINA MAMA SISTERZ WAKIWA NA BINTI YAO AMINA
MADIWANI NA VIONGOZI MBALIMBALI TOKA TEMEKE WAKIONGOZWA NA DA ZAHRA WAKIMTUNZA MARIAM MTEMVU
HIDAYA ASPRO, MAMA YAKE LINDA AKIMTUNZA MARIAM MTEMVU
SITU MWASU NA SHOSTI WAKE WAKIMTUNZA MH. DIWANI MARIAM MTEMVU

MARAFIKI WA AMINA WAKIMZAWADIA AMINA
KHADIJA MTEMVU AKITUNZWA NA BEST YAKE

NYUSO
SELFIE...
JAMILA KITIMTIM & FRIEND
SELFIE...
MAYMUNA ABEBE
MAMA MTEMVU AKIWA NA WADOGO ZAKE
HAJAAT AMINA & NAIMA MALIMA
KHADIJA MTEMVU PENDEZA SANA
ALL THE WAY FROM ABDJAN AUNT ZAKE AMINA
LEFT:: ASHA POMPY & FRIEND, ROSE UMEMUONA MAMA
DOTTO & AISHA MASSANGA
SOMO AISHA KAPUYA & FRIEND
TAMIA MDOGO WA BI HARUSI AMINA
ASHA BARAKA & FRIEND
REHEMA...
HAJAAT AMINA DESIGN & DESIGNER EVECOLLETIONS
SITTU MWASU & KHADIJA KOPA
SHARIFFA
ALHANISA NA PAMBE YAKE
FATMA JANGUO & MOODY KIBASA
CESSY...
HIDAYA ASPRO & FRIENDS
AMINA & FRIENDS
WAZAZI WALIOFANIKISHA SHUGHULI.....
ZEDDYFASHION & FRIEND
JASMINE AKIWA NA WAGENI TOKA ABDJAN
DESIGNER BAHIYA LUMELEZI & JASMINE MTEMVU
KHADIJ SHETTA & FRIENDS
KHADIJA MTEMVU & FRIEND
NAIMA MALIMA & FATMA MWINYI
DESIGNER EVECOLLECTION & MARIAM MTEMVU
LEYLAT
NAIMA MALIMA NA MKWEWE MAMA MALIMA
MARIAM MTEMVU, FATMA JANGUO, DOTTO MAGANGA & HIDAYA MCHOWELE
AMINA'S RED CARPET

BYE BYE AMINA
YES HERE WE ARE STAY TUNED HARUSI NDIO KWANZA INAANZA...
Post a Comment

0 Comments