NASSOR & SANAH NIKAH!!!!

MASHAAALAH MASHAALAH NASSOR NA MKEWE SANAH MPENDEZA SANA, YOUNGEST & HAPPIEST COUPLE ZAMA NDANI UONE ZAIDI

NASSOR NA MAMA YAKE MZAZI VISA
FRIEND FOREVER
NASSOR AKIWA NA BABA MZAZI & WADOGO ZAKE
NDOA IKIFUNGWA KITUNDA, MASJID
SHEIKH NURDIN KISHIK....
 BARKA
NASSOR AKIINGIA NYUMBANI
 MAMA YAKE NASSOR VIGELEGELE
BIBI AKITUNZWA NA BABA YAKE NASSOR
VISA NA WATOTO WAKE
MASHANGAZI WAKIMTUNZA NASSOR
 HASSAN FAROOK MKURUGENZI WA GUSAGUSA MIN BAND & VISARINO PAMOJA NA KIJANA WAO
DECOR......///
MAMA MZAZI WA SANAH AKIINGIA UKUMBINI
 BI HARUSI AKIINGIA
BIBI YAKE SANAH AKISOMA DUA
 MUM & DAUGHTER
 BWANA HARUSI AKIINGIA KUMPA MKONO MKEWE
 NASSOR AKIMSOMEA MKEWE.....
VISA & FATHIYA SHOSTI WAKE FATHIYA
CHAKULA
NYUSO
VISA & MAMA YAKE MZAZI
WAZAZI
VISA & HASINA
MAMA NA MWANA
ASHA & ASYIA
NASSOR AKIWA NA BABA YAKE MZAZI
I JUST LOVE THIS ONE,,,,,
WAZUNGU WANASEMA DAD's DOUTA....
NASSOR AKIONDOKA NA MKE WAKE

Post a Comment

12 Comments

 1. Mashaallah very nice wedding all the best to your marriage life.

  ReplyDelete
 2. maashaallah,allah awajaalie kila lenye kheri ktk ndoa yenu......nimependa saaana makharusi walivovaa...pendezaaaaaaa

  ReplyDelete
 3. mashallah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akawajaalie ndoa njema yenye kizazi bora Amina.

  ReplyDelete
 4. maishallah ISLAMIC AQDI halisi watu mawejisitiri allah awajalie maharusi ndoa ya furaha na awajilie kizazi chema chenye kheri

  ReplyDelete
 5. HADI RAHAAAAA NIMEIPENDA SAANA

  ReplyDelete
 6. wamependeza sanaaaa

  ReplyDelete
 7. MASHALLAH HARUSI NZURI SANA, ALLAH AWAPE MASIKIZANO

  ReplyDelete
 8. MAASHAALLWAAH M.MUNGU AWAJAALIE KHERI NA BARAKA TELE KTK MAISHA YAO YA NDOA

  ReplyDelete
 9. maa shaaa allah maa shaa allah

  ReplyDelete
 10. NI NZURI MNOOOOO!!! ZAIDI YA SANA. JAMANI MUNGU AWAPE MAISHA YA FURAHA KTK NDOA YAO WATOTO HAWA.

  WAALIKWA NAO, MMENOGAJE? YAANI NI KUJISTIRI KWA UKWEE SIO KUBEEP, MUNGU AWAJAALIE MMEPENDEZA SAAANA.MASHAA ALLAH

  ReplyDelete
 11. Mashallah Allah awabariki maharusi wawili , harusi nzuri kwa ujumla wamependeza, vilemba vimefungwa kwa ufundi wa hali ya juu na make up zinalingana na rangi zake, bila kusahau mpiga picha unastahili pongezi zako.

  ReplyDelete
 12. MAA SHAA ALLAH...KHAROUS NZURI HASA!!!

  ReplyDelete