NASSOR & SANAH WEDDING RECEPTION!!!!

Groom                                   :: Nassor
Bride                                      :: Sanah
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: Msasani Tower
Color                                     :: Hot Pink, Gold  & White
Makeup                                 :: Glambox
Cake                                      :: Debora
Caterer                                  ::
Décor                                    :: Desertrosedecor
Entertainment                      :: Gusagusa Min Band - +255713434342
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 02 January 2016
NASSOR & SANAH WEDDING RECEPTION, BAADA YA NIKAH, NI SHEREHE YAO YA KUWAPONGEZA, MASHAALAH, NI LUNCH WEDDING, YOUNGEST COUPLE PENDEZA KUANZIA KWENYE NDOA NA WANAMALIZIA KIKUWELI, DECOR YA UKUMBI LOVELY & SIMPLE, BURUDANI TOKA GUSAGUSA MIN BAND, BAADA YA CHAKULA CHA MCHANA NASSOR & MKEWE WAINGIA NA INDIAN DRESS,

 VISA NA MKWEWE
MAMA MAKEUP BY GLAMBOX
 DECOR...
 MC - MISHY BOMBA
MAKINI KAZINI...
NASSOR & SANAH WAKIINGIA
 DUA...
WAZAZI WAKIKARIBISHA WAGENI
NASSOR AKIMFUNUA MKEWE.....YOU ARE BEAUTIFUL
CAKE
NASSOR & SANAH WAKIKATA CAKE
LUNCH
BURUDANI
GUSAGUSA MIN LIVE BAND WAKIFANYA YAO KWA NAFASI
MAMA MZAZI WA NASSOR AKITUNZA KWA FURAHA, HENNA UMEONA...
NASSOR & SANAH WAKIINGIA UKUMBINI NA VAZI LA PILI, INDIAN STYLE MASHALLAH....
MAMA IN ACTION
I LOVE THIS PICTURE
CUTE MASHAALAH
VISA AKIMTUNZA MKWEWE KWA MADINI JISETI LA UKWEE'E
UMEONA HII ZAWADI...
BRACELET MASHAALAH
 AKIMVISHA CHENI
THANK YOU MY MAMA
 ASYIA, DADA YAKE VISA AKIWAPONGEZA NASSOR & SANAH
CHAI YA JIONI
NYUSO
ASYIA & VISA SISTERZ WAKIWA NA MAHARUSI
FATHIYA & VISA BEST FRIENDS FOREVER
HASSAN, VISA & FRIENDS
VISA, HASSAN & MAHARUSI
 WAZAZI....
VISA, GETU & SARAH
PENDEZA NYUSO
BIBI AKIWA NA FAMILIA YAKE
FATHIYA & ASYIA
DAD's DOUGHTER
FATHIYA, HASINA & MAMA MZAZI
RED CARPET
FAROOK
BI ZARO
BIBI
HASINA MOO
FATHIYA & HB WAKE
ASYIA & FAROOK
OSWARD & NASSOR
WAZAZI
MRS SEFU
MR SEFU, BABA MZAZI WA NASSORPost a Comment

2 Comments

  1. mashallah! allah awajaalie kila la kheri ktk maisha yao mapya ya ndoa.
    ameeen

    ReplyDelete