ONJA:: MWAHIJA's KITCHEN PARTY

ONJA PICHA CHACHE ZA KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO, MSIKIIVU, MPOLE NE MWENYE HESHIMA MWAHIJA, NAFURAHI SANA LEO KUFANYA KAZI YA HUYU BINTI, ZAMA NDANI UJUE CONNECTION YANGU NA BEAUTIFUL GIRL WA SURA NA ROHO IMEANZIA WAPI

MAMA NA MWANA MASHAALAH!!!
 ZAWADI ZA MWAHIJA NYUMBA IMEKAMILIKA
MAMA MZAA CHEMA AKIINGIZWA NA PAMBE YA KINA MAMA
BEAUTIFUL MWAHIJA AKIINGIA....
MWAHIJA AND FRIENDS
MWAHIJA NA AUNTY AKE FATMA, MARA YA KWANZA MWAHIJA ALIKUJA KWANGU KUBOOK HARUSI YA UNCLE WAKE NA FATMA, NILIFANYA VINZURI NA MWAHIJA LEO KARUDI KWANGU KUBOOK HARUSI YAKE NDIO KWANZA TUNAANZA BADO MENGINE MENGI THANKS KWA KUNITHAMINI MWAHIJA...

Post a Comment

2 Comments

  1. Da Hellen tumeonja vingi tangu kwa Amina Mtemvu sasa tunataka mlo amili tule

    ReplyDelete
  2. so lovely...for sure...ur really mashughuli...inshaallah one day u will work with me...inshaallah..cuz I admire 4wat ur doing..

    ReplyDelete