PRUDENCIANNA'S KITCHEN PARTY!!!!!

Bride                          ::  Prudencianna Heron Kahunduka
Event                         ::  Kitchen Party
Venue                        ::  Kristo Mfamle Hall
Color                         ::  Red, Gold & White
Makeup                    :: Beauty Temple
Cake                          ::Veronica cakes
Dressedby                :: Methew Upanga
Photosby                  :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
Date                    :: 27 December  2015
YEEEESSS!!! NI KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO PRUDENCIANNA, DUH PENDEZA SANA BABY GIRL, SHE IS CHARMING BRIDAL, LUCKIEST BRIDAL,WAALIKWA WAMEFUNIKA KWA KUVAA DRESS CODE SWAGGAZ ZA VIBNDIKO NA VIPEPEO VYA AINAYAKE ZAVUTIA SANA, PROGRAMM YA SHUGHULI TOFAUTI NA ZILE ZA SIKU ZOTE, BIG UP MC ADELLA KILA KITU ON POINT ZAMA NDANI UJIONEEE.......

SHE IS CHARMING....
STYLISH BRIDAL
 MOTHER & DAUGHTER LOVE! PURE LOVE! UNCONDITIONAL LOVE!
MRS. HERON KAHUNDUKA, MAMA MZAZI WA PRUDENCIANNA
PRUDENCIANNA & LUKUNDO SISTERS
DECOR......///
 ZAWADI
MC - ADELLA
 PENDEZA SANA MYSIS
MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBINI
MAMA MZAZI AKIINGIA NA SWAGGA YA KUGONGA MIKONI NA WAALIKWA, I LOVE THIS..
BABY GIRL PREDUNCIANNA AKIINGIA
PREEEEETY......
 PRUDENCIANNA AKIPATA BARAKA ZOTE ZA DINI, AKIFUNIKWA KWA JINA YESU AMEEEN!!!
PRUDENCIANNA AKIPATA MANENO YA KUMSAIDIA KUTUNZA NYUMBA YAKE 
INTRO....
 WIFIS WAKITAMBULISHWA
 BAADA YA INTRO ANNA ALIGAWA ZAWADI YA VIPEPEO
 MAMA NDIO NAMUBER ONE FOR EVERYTHING.....
STYLISH GIRLS....
CAKE
 BAADA YA KEKI WANAKAMATI WAKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
KAMATI IKIKABIDHI ZAAWADI
NIMEPENDA SANA PROGRAM YA SHUGHULI
 MPIKICHO UMEONA EEEH
 CHAMPAGNE
MAMA NUMBER ONE
SWAGGA ZA VIBANDIKO
 THEY LOVE EACH OTHER
BURUDANI
 WEDDING SELFIE NA EKOTITE, RULE LAZIMA UWE NA SMART PHONE
CHAKULA
ZAWADI NA HONGERA KWA PRUDENCIANNA
MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI KWA BINTI YAKE KIPENZI PRUDENCIANNA
HAPPY MUM & DOUGHTER
MAMA AKIFUNIKWA KITENGE CHA KANISA KATOLIKI KAMA ISHARA YA MUUMINI WA ROMAN CATHOLIC CHURCH..
MAMA HONGERA HAPA LAZIMA TUKUNYANYUE...
WIFIS WAKIMPONGEZA PRUDENCIANNA
NIMEKUBALI ZAWADI PRUDENCIANNA YOUR LUCKY GIRL
LUKUNDO AKIMPA ZAWADI YA PICHA MDOGO WAKE PRUDENCIANNA
ZAWADI ZIMETULIA EEEH!!!
DADA YAKE PRUDENCIANNA LUKUNDO AKIKTUNZWA....
MASHOSTI WAKIONGOZWA NA AISHA MAKAME KUMTUNZA LUKUNDO
MASHOSTITOS WAKIMPA ZAWADI PRUDENCIANNA
WAKAMKOSHA KWA PESA....
 PRUDENCIANNA AKIWATUNZA MAMA NA WIFI
AKAMVISHA MADINI, NDIO MWENDO MZIMA...
MAMA MZAZI AKIVIKWA JIKUFU...
PRUDENCIANNA AKIENDELEZA MWENDO WA MADINI MADINI
PRUDENCIANNA AKIMVISHA MADINI DADAYAKE
FAMILY....
NYUSO
BRIDAL SELFIE.......
LOVELY
NICE EEH
BEAUTIFUL
RED CARPET

Post a Comment

8 Comments

 1. Nice pictures. But Lukundo is Prudence blood sister not wifi

  ReplyDelete
 2. kitchen party nzuri na waalikwa wamependeza pamoja na picha pia nzuri sana kwa ujumla kila kitu kizuri

  ReplyDelete
 3. Uwiii watu wamependeza hadi kero kiruuuu.kila kitu on point dress code perfect kasoro wachache sana wana sababu zao za msingi,make up na hivo vibandiko mwake kabisa mpaka mwenye shughuli unahisi umeibeba dunia..Hongera Bi Harusi kila la heri katika ndoa yako na Mumeo.

  ReplyDelete
 4. Pendeza sanaaaaa jmn turushie na za send off plz yaan kitu amaizing!

  ReplyDelete