PRUDENCIANNA's SENDOFF PARTY!!!!

Bride                          ::  Prudenceanna Heron Kahunduka
Event                         ::  Sendoff Party
Venue                        ::  Kardinall Hall (st. Peter church)
Color                         ::  Yellow, Royal Blue & Red
Makeup                     ::  Laviemakeup
Cake                          :: Cake Gallery
Caterer                      :: Camaguey Caterers
Dressedby                :: Mathew - +255 715 232 100
Accessories             :: From Ghana
Photosby                  :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
Date                          :: 30 December  2015
NOTHING TO SAY, SHE GORGEOUS!!! PRUDENCIANNA'S SENDOFF PARTY, NAIJA SWAGGAZ ZAMPENDEZESHA ZAIDI, WADAU NAJUA MLISUBIRI SANA BAADA YA KUWAONJESHA, NA HII NDIO PAMBE SI YA KAWAIDA.

MAMA NA MWANA
MAMA NA WAREMBO WAKE...
BROTHER & SISTER....
BEST FAMILY.....
DECOR....
MC-MAKENE, HE IS PERFECT....
WAKIINGIA 
WAKWE WAKIINGIA
MAIDS WAKIINGIA...
MAIDS SWAGGAZ TISHA & DIFFERENT
 PRUDENCIANNA AKIINGIA
FULL CONFIDENCE.....
KENNETH AKIMPOKEA DADA YAKE
AKISALIMIA WAKWE KWANZA...
AKIENDA KWA WAZAZI NA KUWAPA ZAWADI KWANZA
DAD's DAUGHTER
AKAMVISHA BABA SAA
THANK YOU DAUGHTER....
 AKIMVISHA MAMA SAA
 KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI, MR. SULLA AKIWAKARIBISHA WAGENI
WAZAZI WAKIONGEA NA BINTI YAO
 CAKE
 CHAMPAGNE
 MC MAKENE AKIFUNGUA CHAMPAGNE KWA AJILI YA PRUDENCIANNA NA WAZAZI WAKE
INTRO......
AKIMTAMBULISHA MR & MRS SULLA
 AKIMTAMBULISHA TWIN WAKE (PACHA)  KENNETH
 INTRO - WAKWE
 PRUDENCIANNA AKIMSAKA MCHUMBA, KENNETH KAKA YAKE AKIMPA ESCORT
THE ONE & ONLY.....
 YES AKAMVISHA JICHENI SILVER, MADINI MADINI...
 AKIENDELEA KUMPA ZAWADI ZA UKWEE'E
 HUYU TUNAMUHITAJI PAPARAZI.....NI NOMA
NEW COUPLE IN TOWN PRUDENCIANNA & JAMES
 MC MAKENE AKIWAKABIDHI KITABU CHAKE CHA MAFUNZO YA NDOA
 PRUDENCIANNA AKIMKARIBISHA MCHUMBA JAMES DINNER
BURUDANI
EKOTIKE
WAZAZI NA PRUDENCIANNA WAKIPONGEZWA
SO SWEET!!!!
LUKUNDO, THE ONLY PRUDENCIANNA's SISTER AKIWATUNZA WAZAZI
NYUSO
YAP!! MDAU WANGU BAADA YA KUONA CAMERA YA MASHUGHULIBLOG!!!!
WAKWE ZAKE PRUDENCIANNA
 MR. HERON KAHUNDUKA, PRUDENCIANNA'S DAD
MRS, HERON, PRUDENCIANNA'S MUM
PRUDEMCIANNA NA MAMA ZAKE, SHE IS HAPPY!!!!!!
MR & MRS SULLA
FAMILY.....
SISTERZ FOREVER 
RED CARPET
BYEBYE....Post a Comment

6 Comments

 1. biharusi smiling, make up, pamoja na waalikwa wamependeza sana hongera Mungu akujaalie watoto na furaha idumu ndani ya ndoa yenu

  ReplyDelete
 2. Dah..Bwana Harusi inaonekana Alikuwa Chips Mayai balaa huko nyumbani kwa Mzee TUSIIME...Its time now to start jogging otherwise mmmmm....

  ReplyDelete
 3. Stunning!!! Bi harusi kapendezaje ila Bwana Harusi kazi ipo afanye diet kwa sana binti mrembo yule ant pamoja na urembo wake Bwana harusi ajitahidi diet ili aweze mfikisha mrembo kileleni haswa maana bila hivyo ni shida.

  ReplyDelete
 4. kwakweli MUNGU awabariki zaidi

  ReplyDelete
 5. jamani mungu awape hekima ya ndoa mambo mengine tuwaachie wenyewe

  ReplyDelete
 6. bi harusi hongera sana kwa kupendeza na uso wako safi wa tabasamu nakuombea kwa mungu tabasamu lako lidumu daima milele katika maisha yako yote ya ndoa, bwana harusi diet please bila hivyo ni shidaaaaa

  ReplyDelete