ABUU HOUSE PARTY!! ITS MY DAY LETS PARTY!!!

GROOM                                 :: ABUU
EVENT                                   :: BAG PARTY
VENUE                                   :: LULU HALL
COLOR                                  :: ORANGE, GOLD & GREEN
CATEREE                              :: YAHYA CATERER
PHOTOSBY                           :: MASHUGHULIMEDIA - +255655426100
DATE                                     :: 13TH  FEBRUARY 2016
 ITS MY DAY LETS PARTY!!! NDIVYO ASEMAVYO BWANA HARUSI ABUU, NI YULE KIONGOZI WA MELODY LIVE BAND, AKIWA KATIKA SAFARI YAKE YA KAKAMILISHA KIHALALI MKE HII NI HOUSE PARTY, HAPANA CHEZEYA, MASHAALAH ABUU , AKIWA AMEVAA AFRICAN PRINT YEYE NA MPAMBE WAKE PENDEZA SANA, ABUU KAPEWA ZAWADI ZA UKWEE'E KUANZIA BEDOROOM SET & SITTING ROOM ZILIZOKAMILIKA TOKA KWA DADA ZAKE AMINA & SAIDA MAMA YA CHINA, WAIMBAJI WA TAARAB WALE MAGWIJI WATOA BURDANI KALI, KHADIJA NA RUKIA RAMADHAAN, WAALIKWA WAPATA MLO MARA 3 KAMA DOZI YA PANADOL, ILIKUWA NA KUNYWA, KULA NA KUCHEZA...ZAMA UWAONA WALE WATOTO WA MUJI HUUU....

ABOU NA MPAMBE


ABUU & FRIENDS
ABUU NA MCHUMBA WAKE NAIMA
 MAMA NA MWANA
ABOU & SISTER AMINA
FROM BARBER SHOP 
SCRUB ZA MAANA
DECOR......////
ZAWADI
 MC
BWANA HARUSI ABUU AKIINGIA UKUMBINI
DUA...///
 MWENYEKITI WA KAMATI
 HII NDIO KAMATI ILIYOKAMILISHA SHUGHULI
 ABUU AKIFICHULIWA
 RUKIA RAMADHAN MUIMBAJI MKONGWE AKIMFICHUA BWANA HARUSI
 MELODY LIVE BAND
 MAMA MZAZI AKIMFICHUA KIJANA WAKE
LUNCH
TULIANZA NA BIRIANI KWANZA
INTRO.....////
MAMA MZAZI WA ABUU
AMINA AMOUR
 ABUU ONLY SISTER AKITAMBULISHA ZAIDI
BI HARUSI AKIINGIA UKUMBINI...
PENDO PENDONI
DEKA BI HARUSI AMINA...
BI HARUSI AKITUZWA...
ABUU AKIONGEA
 CAKE
HAYO NI MAHABA.....
 ABUU AKIMKABIDHI MAMA MZAZI CAKE
 NAIMA MACHUPA AKIPOKEA CAKE KWA NIABA YA MAMA MZAZI
 WANAKAMATI WAKIPATA CAKE YAO
 ABUU & AMINA WAKILISHANA CAKE
 CHAMPAGNE
ZILIFINGULIWA KWA FUJO, HAPANA CHEZEYA WA MUJINI
 OSWALD
 HASINA MOO, MUKE YA AWADH
 AMINA AKIGONGA GLASS NA WIFIYE SAIDA MAMA YA CHINA
 ANKAL....
 CHEERRZ...
 FATHIYA CHEEERS
SHAMSA BINT MALIK CHEERS WITH LE BRO....!!!
BURUDANI
RUKIA RAMADHAAN
MELODY LIVE BAND
FAUZIA BENBELA & SHOSTITO
KHADIJA KOPA AKIPASHA...
HAIWEZEKANI LAZIMA NIKUTUNZE
 SHAMSA AKIRUSHA ROHO...
 MIZE KAGUSWA...
KHADIJA KOPA AKITOA SHOW...
SAIDA KAGUSWA....
 KHADIJA KOPA APIGWA BUSU......
 KWAITO YA ABUU & AMINA
DINNER
ZAWADI
 BI HARUSI AMINA AKISHUHUDIA ZAWADI ZA ABUU
UMEONA MIJISUTI HIYO WATANGA WANA HARI
ABUU AKIKABIDHIWAMSWALA, NA MASAAFU
AMINA, DADA YAKE ABUU AKIENDA KUMKABIDHI BEDROOM SET YA UKWEE'E, UKO JUUU
KITANDA
DRESSING TABLE
KABATI LANGUO
AMINA AKIMKABIDHI ABUU ZAWADI
THANK YOU SISTER.....
 SAIDA DADA YAKE ABUU NA KAMPANI YAKE AKIKABIDHI ZAWADI
 PAMBE YA SAIDA.... HAPANA CHEZEYA KIJOLI UKO JUU
 ALIANZA KUKABIDHI FLAT SCREEN.....
 KISHA AKAMKABIDHI SOFA SET
 FUJO WATOTO WA MUJINI.... EEEEH
 WAFANYAKAZI NA AMINA DADA YAKE ABUU, WIZARA YA AFYA
 MASHAALAH ABUU ZAWADI NZURI SANA
 AMINA DADA YAK ABUU AKIKOSHWA
 SAIDA AKIFUTWA JASHO NA ZUNGU & MOO CHAKA MNATISHAJE
 TUNDA WA SPODO NA YEYE AKAMKOSHA SAIDA
 ZUNGU ZIMLIMTOKA TU....
 KISHA ZUNGU AKAMTUNZA ABUUU
JOKHA KABOTOKA AKIMKOSHA AMINA, NGUO NZURI SANA DESIGN BY JOKHA SIMBA
 MAMA MZAZI AKITUNZWA
 KAMATI HIYO
 WAKAMKABIDHI ABUU CASH MONEY MILLION
ABUU AKIWASHUKURU WANAKAMATI NA WAALIKWA
NYUSO
 AMINA NA MKWEWE

HASINA MOO & RUKIA RAMADHAAN
SAIDA....DADA YAKE ABUU
 AMINA DADA YAKE ABUU & FRIENDS
 NURU & FRIEND
 TIMA
 MAMA MZAZI WA ABUU
 ABUU NA MAMA MZAZI
 TUNDA & SPODO
 ZUNGU NA PAMA LA UKWE'E
 FATMA SHISHA & FRIEND
 FAIZA & BI HARUSI AMINA
 HII INAMAANISHA NINI???? 
SHE IS HAPPY....
 BI REHEMA NA SHOGA YAKE
 JOKHA KABOTOKA & SHOSTITOS
 MIZE


 HIDAYA RAYA & TUMA

 HASINA & MOO CHAKA

Post a Comment

4 Comments

 1. Sherehe nzuri ila Wasenge mhhhhhhhh

  ReplyDelete
 2. waooooooooo Tina, Mwanamisi,na Amina, nimewanunia kwa kutokunilika mtanga mwenzenu loooooo si kwa kunirusha roho huku nimebaki mdomo wazi mwenzenu, mlipendeza mnooooooo. Hongereni jamani

  Sophia

  ReplyDelete
 3. waooooooooo Tina, Mwanamisi,na Amina, nimewanunia kwa kutokunilika mtanga mwenzenu loooooo si kwa kunirusha roho huku nimebaki mdomo wazi mwenzenu, mlipendeza mnooooooo. Hongereni jamani

  Sophia

  ReplyDelete
 4. MLIPENDEZA MNOOOOOOO, NIMEFURAHI KUMUONA TINA KAALE, MWANAHAMISI, NA AMINA DADA YA BWANA HARUSI...

  SOPHIA

  ReplyDelete