HAPPY & LUCY SENDOFF PARTY @ SAME-KISIWANI!!!

YES NI SENDOFF YA MABINTI LUCY & HAPPY NDANI YA WILAYA YA SAME, MKOA WA KILIMNAJARO KIJIJI CHA KISIWANI,  LUCY NA HAPPY NI DADAZ, PENDEZA SANA NIMEURAHI KUONA TOFAUTI YA MJINI NA KIJIJINI SI KUBWA KAMA VILE, HAPANA MAMBO NI KAMA HUKU TOWN

DECOR...///
 MC ANNA MBAGGA
YAP AKIFANYA KAZI YAKE NDANI YA KIJIJINI KWAO...HAPANA CHEZEYA UKO JUUU
WAZAZI WAKIINGIA
 SISTERZ
WAKWE WAKIINGIA....
 HAPPY NA LUCY WAKIINGIA
MC ANNA AKIONGOZA SALA
INTRO....//
CAKE
 CHAMPAGNE
HAPPY NA LUCY WAKIWASAKA WACHUMBA WAO
CHAKULA
 BURUDANI
ZAWADI
MAMA LUCY AKIKABIDHI KAPU
MAMA LUCY NA KAPU LA BINTI YAKE
WAKWE WAKIWATUNZA
HAPPY NA LUCY WAKIWATUNZA MAMA ZAO
NYUSO ZA KISIWANI, SAME
MCHUMBA WA HAPPY
MCHUMBA WA LUCY NA KAMPANI YAKE
HAPPY AND SWEET MUM
 BIBI ALL THE WAY FROM AMERICA
MIE NA WIFI YANGU
MAMA NA MWANA
MZEE WANGU WA KISIWANI

Post a Comment

1 Comments

  1. HIYO NI SEND OFF MBONA MA KISS YA HATARI DU WATOTO WA SIKU HIZI AIBU HATA HAWANA, UTADHANI NDOA TAYARI

    ReplyDelete