HAPPY'S SENDOFF PARTY @ ARUSHA!!!!

Bride                                      :: Happy Mbagga
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Olosovo Park
Color                                     :: Hot Pink, Green Apple & Yellow
Makeup                                 :: Ndeku Salon - Njiro
Décor                                    ::
Caterer                                 ::
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100

Date                                     :: 30 January 2016
HAPPY's  SENDOFF NDANI YA MJI WA ARUSHA, NIMEPENDA SANA MPANGILIO MNZIMA WA SHUGHULI ZA WATU ARUSHA KWENYE SWALA LA PICHA KWANI KWENYE RATIBA YA SHUGHULI KUNA MUDA WA PICHA  KABLA YA KUINGIA UKUMBINI, HAPPY KABINTI KAPOLE, NI MWENYE HESHIMA NA MNYENYEKEVU, KAPENDEZA SANA NA MIDS WAKE WALIOVAA ARICAN, MDAU BONYZA KITUFE NISIMALIZE UHONDO....

BEAUTIFUL......
MNARA WA MWENGE ARUSHA, HOME SWEET HOME
NICE PHOTO
AFRICAN SWAGGAZ
MAMA NA MWANA LOVELY
HAPPY & BRO
FAMILIA
HAPPY NA MCHUMBA WAKE WALIKWENDA KANISANI KWANZA KUPATA BARAKA
DECOR..........
 MC
WAZAZI WAKIINGIA
WAKWE WAKIINGIA
MAIDS WALIOVAA KIAFRIKA WAKIINGIA
HAPPY AKICHEZA KWA FURAHA KAMA JINA LAKE
 SALA
MCHUNGAJI AKIONGOZA SALA
HAPPY MBAGA AKITOA UTAMBULISHO...
CAKE
ALIANZA NA MAMA
AKIMLISHA BIBI YAKE
CHAMPAGNE
NDAFU
HII NDAFU ILILETWA NA MPISHI UKUMBINI NILIPENDA HAYO MADOIDO YA KUINGIZA NDAFU KWA WANAONIFOLLOW INSTA WANAWEZA KUONA KIDEO
HAPPY AKIMSAKA MCHUMBA KWA MUDA MREFU SAANA
 BAADA YA KUMUONA TU AKAMVISHA SAA YA UKWELI
 KISHA AKAMKARIBISHA CHAKULA CHA JIONI
 UTEPE WA MEZA YA CHAKULA UKIKATWA, MEZA IKO KATIKATI YA WAGENI WAALIKWA, NILIMUULIZA MPAMBAJI AKASEMA NI NZURI KWA SABABU WANAPATA MUDA WA KUWA KARIBU NA WAALIKWA
ZAWADI NA MKONO WA HONGERA KWA HAPPY NA MAMA MZAZI
 TULIANZA NA KAPU LA MAMA
 MAMA AKITUNZWA
MARAFIKI WA HAPPY WAKIKABIDHI ZAWADI
 WANAKAMATI WAKIENDA KUTOA ZAWADI
 MWENYEKITI WA KAMATI
HAPPY AKIMVISHA MAMA MZAZI MADINI
NYUSO
HAPPY AKIWA NA MAMA NA BIBI YAKE TOKA USA
MCHUMBA
MAMA MZAA CHEMA
 MIE NA MDOGO WANGU MC ANNA
 NDUGU ZANGU WA KISIWANI

BYE BYE HAPPY WE LOVE YOU
Post a Comment

1 Comments

  1. Send Off ilikua nzuri sana, Happy Mungu akujaalie ndoa yenu idumu mamy isiingiliwe na manyang'au. Amin

    ReplyDelete