MWAHIJA's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                                      :: Mwahija Kondo
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Lulu Hall
Color                                     :: Red, Royal Blue & white
Makeup                                 :: GNG Saloon
Décor                                    :: Chizenga Decor
Caterer                                  :: Chizenga Caterer
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 22 January 2016
YAP NI MWAHIJA'S KITCHEN PARTY, YULE BINTI MREMBO NA MPOLE KAPENDEZA SANA, MASHAALAH BINTI ANA BAHATI KATUNZWAJE VYOMBO VYA NYUMBA NZIMA, HUKU MASHOSTITO NA WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIMKOSHA MAHELA...

MWAHIJA NA AUNTY AKE FATMA
 MAMA NA MWANA
DECOR
 ZAWADI
MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBINI NA PAMBE YAKE
 MC AKIMTAMBULISHA MAMA MZAZI
MWAHIJA AKIINGIA
HAPO HAPO MWAHIJA AKAGAWA SOUVENIRS 
 SOMO AKISOMA DUA
MAMA MZAZI AKIKARIBISHA WAGENI
MWAHIJA AKIITAMBULISHA FAMILIA
MWENYEKITI AKIONGEA
MWAHIJA UENDE UKAMPIKIE MUME BIRIANI EEH
 MAMA, SOMO NA SHANGAZI WAKIONGEA NA MWAHIJA
MAMA MZAI AKIONGEA
SOMO AKISEMA YAKE
 SHANGAZI AKE MWAHIJA AKIONGEA
CHAKULA
SOMO NA MWARI, MASHAALAH UMEPATA SOMO MNZURI SANA
BURUDANI
ZAWADI
MAMA MZAZI ALIANZA KUKABIDHI ZAWADI ZAKE KWA BINTI YAKE
SHANGAZI AKITUNZA
SOMO MWAMVUA AKIENDA KUTUNZA
MAMBO YA SOMO MWAMVUA
SOMO AKIKABIDHI SOFA SET HUKU AKIMWAMBIA JISTAREHESHE
SOMO AKIMTUNZA MAMA MZAZI
MAMA CHIZENGA AKITOA ZAWADI
HAPA KAPEWA KABATI LA VYOMBO
HAPA KAPEWA KITANDA.....
SHANGAZI AKIENDA KUMTUNZA MWAHIJA
MASHAALAH MWAHIJA AKIJABIDHIWA FRIDGE YENYE WARRANT YA MIAKA MIWILI
BAADA YA KUMTUNZA WAKAMNYANYUA
MAMA MZAZI AKIKOSHWA
HAPAMA CHEZEYA NI MWENDO WA PESA....
MWAHIJA AKITUNZWA GAS COOKER
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
MAMA NA MWANA
FATMA & SHOSTI WAKE PENDEZA SANA, NIMEPENDA HIZO GELE ZILIVYOFUNGWA

Post a Comment

1 Comments

  1. Pendeza sana Mwahija, kitchen party ilipendeza sn...Mashaallah.

    ReplyDelete