MWAHIJA'S SENDOFF PARTY!!!!

Bride                                      :: Mwahija Kondo
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Msasani Tower
Color                                     :: Yellow, Peach & Blue
Makeup                                  :: GNG Saloon
Décor                                     :: Chizenga Decor
Caterer                                  ::Chizenga Caterer
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                       :: 30 January 2016
YES NI ILE SENDOFF YA MWAHIJA, MASHAALAH UMEPENDEZA SANA BINTI MREMBO, MAKEUP YAKO ON POINT, NGUO RANGI IMETULIA....

MWAHIJA NA WAZAZI WAKE
DECOR....
 MC
MWAHIJA AKIINGIA UKUMBINI
 MWAHIJA ALIINGIZWA UKUMBINI NA MWENYEKITI WAKE
MWAHIJA AKIWA NA MWENYEKITI WAKE
KAMATI YA SENDOFF YA MWAHIJA
INTRO...
 WAKWE
CAKE
 CHAMPAGNE
 MWAHIJA AKIMSAKA MCHUMBA
 KISHA AKAMVISHA ZAWADI YA VIATU
 MIJIZAWADI KWA MCHUMBA, SAA YA UKWEE'E
WAKAENDA KWA CHAKULA CHA JIONI
 BABA MZAZI WA MWAHIJA MZEE KONDO AKIONGEA NA MWAHIJA
MWAHIJA ALETEWA SUPRISE CAKE YA BIRTHDAY NA MCHUMBA WAKE
SHANGAZI AKILISHWA CAKE
BURUDANI
ZAWADEE NA HONGERA KWA MWAHIJA
FATMA AUNT AKE MWAHIJA & SHOSTI WAKE WAKIMTUNZA MAHELA
 WAZAZI WAKITUNZWA
WAZAZI WAKITUNZWA
KAMATI
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
 WAZAZI WA MWAHIJA

 MWAHIJA & MAMA CHIZENGA
BYE BYE MWAHIJA


Post a Comment

0 Comments