RASHID & MWAHIJA AQDI!!!!!

BRIDE                                    :: MWAHIJA KONDO
GROOM                                 :: RASHID SULTAN
EVENT                                   :: AQDI
VENUE                                   :: MAAMUR MASJID
COLOR                                  :: AQUA GREEN & GOLD
MAKEUP                                :: MAZNUT BRIDAL
DÉCOR                                  :: CHIZENGA DECOR
CATERER                              ::CHIZENGA CATERER
PHOTOSBY                           :: MASHUGHULIMEDIA - +255655426100
DATE                                     :: 2ND FEBRUARY 2016
YAP LEO TWAMALIZIA ILE SHUGHULI YA MWAHIJA, RASHID & MWAHIJA QDI, MASHAALAL PENDEZA SANA...TWATAKIA KHERI NA NDOA YENYE FURAHA

MWAHIJA NA MAMA MZAZI
MWAHIJA NA MZEE KONDO, BABA MZAZI
NDOA IKIFUNGWA MSIKITI WA MAAMUR UPANGA
DECOR
 BWANA HARUSI AKIINGIA KUMPA MKONO MKEWE
 BI HARUSI AKITOLEWA NA SOMO

RASHID AKIMSOMEA MKE WAKE
 RASHID & MWAHIJA WAKISAINI VYETI VYA NDOA
RASHID AKAMFUNUA MKE WAKE
MAULID
MAHARUSI WAKITOLEWA NJE
 WAKIVISHANA PETE
CHAKULA
NYUSO
 MAMA NA MWANA
 SHANGAZI YAKE MWAHIJA
MASOMO NA MWARI
WANAUME
BABA MZAZI WA BI HARUSI, MZEE KONDO
BWANA RASHID AKIONDOKA NA MKEWE

Post a Comment

0 Comments