SALAMA SENDOFF PARTY!!!!!!

 BRIDE                                   :: SALAMA
EVENT                                   ::SENDOFF PARTY
VENUE                                  :: MRINA HALL
MAKEUP                               :: GNG SALOON
COLOR                                 :: PINK, SILVER & YELLOW
PHOTOSBY                          :: MASHUGHULIMEDIA - +255655426100
DATE                                    :: 19TH  FEBRUARY 2016
SALAMA SENDOFF PARTY YAP BINTI KAPENDEZA SANA HAPANA CHEZEYA NIMEPENDA SANA MAKEUP YAKE, RANGI YA NGUO NZURI, SHUGHULI ILICHAMNGAMSHWA NA WASANII LUKUKI...ZAMA NDANI KUONA ZAIDI


DECOR...///
 MC
WAKWE WAKIINGIA...
BI AMINA MAMA MKWE WAKE SALAMA PENDEZA SANA
 SALAMA AKIINGIA
SALAMA NA SHOSTI WAKE NEEMA
 KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI
INTRO....
 INTRO WAKWE...
CAKE
 CHAMPAGNE
SALAMA AKIMSAKA MCHUMBA
KISHA AKAMVISHA SAA
CHAKULA
SALAMA AKIPATA NASAHA ZA WAZAZI
BURUDANI
 ZAWADI
WANAKAMATI WAKIPELEKA ZAWADI YA NEW DOUBLE DOOR FRIDGE
 MAMA MZAZI AKIMTUNZA BINTI YAKE MADINI
 DYNESS AKIMTUNZA MKE MWENZA....

DYNESS NA BI AMINA WAKIMTUNZA SALAMA
MAWIFI WAKITUNZA
SALAMA AKIMTUNZA BI AMINA MAMA MKWE WAKE
NYUSO
SALAMA NA MAMA MKWE

PENDEZA
WAKWE
DYNESS NA WAKWE ZAKE
BYE BYE SALAMA!!!!!!

Post a Comment

0 Comments