SALAMA'S KITCHEN PARTY

BRIDE                                    :: SALAMA
EVENT                                   ::KITCHEN PARTY
VENUE                                   :: MRINA HALL
COLOR                                  :: SILVER, GOLD & GREEN
PHOTOSBY                           :: MASHUGHULIMEDIA - +255655426100
DATE                                     :: 19TH  FEBRUARY 2016
YAP NI KITCHEN PARTY YA SALAMA MASHAALAH PENDEZA SANA MAKEUP ON POINT....////

MC
MC LUCY KABAMBA MRS. BAYPALA
AKIFANYA KAZI YAKE KWA MAKINI ANAPATIKANA ::0715 551 400
DECOR......
 ZAWADI
SALAMA AKIINGIA
 DUA....///
CAKE
 CHAMPAGNE
SALAMA AKITUNZWA VYOMBO
MAMA AKIMTUNZA SALAMA
SOMO AKIMTUNZA SALAMA
 SALAMA AKIMTUNZA SOMO
  MAMA AKITUNZWA
MAMA NA MWANAPost a Comment

3 Comments

 1. make up imetulia ,hongera kwa aliemtengeneza sura,na nguo pia mwake mwakeeee..pendeza saaanaaaaaaa

  ReplyDelete
 2. nimempenda sana mama wa bibi harusi.. yuko simple na amependeza sana...
  Bibi harusi hongera umependeza sana..Mungu akujalie ndoa yenye baraka na furaha.

  ReplyDelete
 3. gauni simple na nzuri sana....hongera ulipendeza na make ilikaa njema

  ReplyDelete