ABOU & AMINA WEDDING DAY!!!

Groom                                   :: Abou Ruwe
Bride                                     :: Amina Machupa
Event                                    :: Wedding Reception
Venue                                   :: Naivera Complex Tanga
Color                                    :: Peach, Silver & Gold
Entertainment                     :: Melody Live Taarab Band & Tanga Taarab Live Band
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                     :: 06th March 2016
 YAP AMINA & ABOU WEDDING DAY, WOOH PENDEZA SANA MAHARUSI, NI ILE HARUSI ILIYOSISIMUA  TANGA MJI HUKU BAADHI YA WAKAZI WA JIJI LA DAR NA MASTAR WA MZIKI WA TAARAB WAKIFUNGA KAMBI TANGA KWA MUDA, MASHAALAH SHUGHULI PAMBE SANA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 AMINA AKIWA NA FAMILIA YAKE
DADA YAKE ABOU & FAMILY
DECOR....////
HAPA NDIO MPANGO MNZIMA TANGA
 MAHARUSI WAKIINGIA
 BI AHARUSI ALIANZA KUINGIA
 BWANA HARUSI AKIINGIA
AMINA AKIMPOKEA MUME WAKE
CHAMPAGNE
ABOU & AMINA WAKIWAKARIBISHA WAZAZI CHAKULA CHA JIONI
NILISHE KUNILISHE NDIO ISHARA YA UPENDO
BURUDANI
BI MWANAHAWA
MELEDY LIVE TAARAN BAND
MKONO WA HONGERA KWA MR & MRS ABOU
NYUSO
 SAADA & FRIEND
MIZE, MASHUGHULIBLOG & BI AFUA
WANA WA MELODY HAO
SHEMEJI YAKE BWANA HARUSI ABOU
BWANA MKUBWA HILO POZI DAH.....UTAFIKIRI
MIE NA MAHARUSI WANGU, ABOU NI MDOGO WANGU......
AMINA DADA YAKE BWANA HARUSI ABOU
 KIKUNDI CHA MELODY
 MIE NA MY FRIEND FROM TANGA
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI ABOU
RED CARPET
Post a Comment

1 Comments

  1. nice pictures ..and great location all the best Abou with precious wife Amina all the best on their wedding inshallah allah awaongoze kwenye maisha mapya

    ReplyDelete