AHMED & TUNSUME SHINDA!!!

Groom                                   :: Ahmed
Bride                                     :: Tunsume
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: 77 Grounds
Color                                     :: Orange & Yellow
Entertainment                      :: Segere Live Band
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YES BAADA YA MAULID TUKAENDELEA NA SHINDA YA TUNSUME NA AHMED NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA, MAHARUSI PENDEZA SANA TU, NAWAITA MAHARUSI WENYE FURAHA, SHUGHULI PAMBE HONGERA MAMA MZAZI CHEUSI. LIVE BAND YA SIZA WA SEGERE, KHADIJA YUSUF NA MALKIA SHAKILA NDANI YA NYUMBA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

TUSNUME AKIRINGA NA MUME WAKE
 BI HARUSI MWENYE FURAHA
SOMO NA MAHARUSI
DECOR...///
 ZAWADI
 MC MUU AKIFANYA IPASAVYO, NAKUAMINI SANA...JEMBE LANGU
WAZAZI WAKIINGIA
 MAHARUSI WAKIINGIA
 ALIANZA BI HARUSI KUINGIA
 KISHA AKAINGIA BWANA HARUSI
 TUNSUME AKIMPOKEA MUME
 WANGU WA MILELE
 DUA....
KAMATI
 MWENYEKITI WA KAMATI 
INTRO.....
MAHARUSI WAKIVISHANA PETE
 WAKITOA PETE KICHWANI MWA MALAIKA WAO
 HENNA MASHAALAH
CAKE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
 LIVE BAND YA SIZA WA SEGERE
 MSANII MKONGWE BI SHAKILA
 KHADIJA YUSUF AKITOA BURUDANI
MAMA MZAZI ALITUNZAJE KWA FURAHA
 HAPANA CHEZEYA MC KIBAJAJI
ZAWADI
MAMA MZAZI CHEUSI AKITOA ZAWADI 
KISHA AKAMKABIDHI KITANDA
CHEUSI AKIPONGEZWA
BIBI AKIWATUNZA MAHARUSI
ODO AKIKABIDHI ZAWADI YA KABATI LA NGUO
BI CHEUSI AKITUNZWA
SOMO AKIKABIDHI ZAWADI
BADO MWARI WANGU
AKAMKABIDHI FLAT SCREEN NA KABATI LA VYOMBO
SOMO AKIWATUNZA WAZAZI
MAMA MZAZI AKIMTUNZA SOMO
MASHAVU DADA YAKE BI HARUSI AKIKABIDHI FRIDGE
MAMA AKITUZWA
MASHAALAH MAHARUSI MPAKA KINGAMUZI AZAM
MARIAM BEST AKIMTUNZA MAMA MZAZI
WAZAZI WAKIKOSHWA
MASHAVU AKIKOSHWA
SARAH DADA YAKE BI HARUSI WAKIKABIDHI COFFEE TABLE
SHOE RACK
WAKWE WAKIWATUNZA MAHARUSI
TUNSUME AKIWATUNZA MAMA NA BIBI ZAKE
MAMA AKITUNZA 
MC MUU AKIMTUNZA BI HARUSI
SIZA AKIMKOSHA MAMA MZAZI
 NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
KHADIJA YUSUF & SHAMIM
WAZAZI
MIE NA MALKIA WANGU, MC MUU
MC KIBAJAJI
MIE NA MWANANGU MAYASA
RED CARPET
 BYE BYE MAHARUSIPost a Comment

0 Comments