SALUM & SALAMA AQDI!!!

MASHAALAH MASHAALAH SALAMA KAPENDEZA SANA NA MUME WAKE.....

MAULID YAKISOMWA
 QIYAM
BI HARUSI AKITOLEWA NJE
BWANA HARUSI AKIMPA MKONO MKEWE
 SALAMA AKIVISHWA PETE
CHAKULA
NYUSO
DYNESS NA MAHARUSI
BI AMINA NA WANAWE
WAZAZI NA MAHARUSI
MAMA NA MWANA
WIFIS
FATMA JANGUO NA MAHARUSI
SALAMA NA MAMA MKWE WAKWE BI AMINA
MAMA LINDA NA MAHARUSI
MAHARUSI NA MAMA
 SALAMA NA MKE MWENZA DYNESS
 WAKE NA MUME WAO
SALAMA NA SHANGAZI
SALAMA NA MAMA MZAZI
WANAUME
FATMA JANGUO NA BI HARUSI
SALAMA AKIONDOKA NA MUME WAKE

Post a Comment

4 Comments

  1. BB haruc kapendeza lkn kuna kitu ambacho uwa c kielewi n kuhusu hao maharuc kutia rangi kucha ama kushonea ma wivingi najiuliza ktk kuoga inamaana uwa awaogi janaba ama? embu nisaidien nyie ambao mmeisha olewa na cku ya ndoa zenu mlitia kucha rangi ktk kuoga janaba ilikuaje? msaada

    ReplyDelete
  2. rangi si inatoka tu mumy akifika tu hom anatoa

    ReplyDelete
  3. Nimependa vazi la bwana harusi naweza kupata wapi kama hio

    ReplyDelete