SOPHIA'S SENDOFF PARTY!!!

Bride                                      :: Sophia
Event                                     ::Sendoff Party
Venue                                    :: Mango Garden
Color                                     :: Red, Blue & Yellow
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                       :: 19th  February 2016
YES, POLENI WADAU WANGU KWA KIMYA KIREFU, NI SENDOFF YA BINT MREMBO SANA SOPHIA PENDEZA NA NGUO ZOTE MBILI MASHAALAH, ZAMA NDANI UJIONEE ASHA POMPI ALIVYOWAKOSHA FAMILIA.....

SISTERZ FOREVER TILL THE END...
MAMA MZAA CHEMA
 MAMA NA MABINTI WAKE
SOPHIA AKIWA NA MCHUMBA WAKE

 DECOR.....///
 ZAWADI
MC JAMILA KITIMTIM
MAMA MZAZI AKIINGIA
 WAKWE WAKIINGIA
WAKWE WAKIINGIA
 SOPHIA AKIINGIA
MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
 DUA/////
KAMATI
SOPHIA AKIFICHULIWA...
INTRO...////
 INTRO KWA WAKWE
CAKE
  CHAMPAGNE
SOPHIA AKIMSAKA MCHUMBA
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI
DADA AKIKABIDHI SOFA SET
ASHA POMPI, MAMA YA UKWEE'E JE WADAU MNAMKUMBUKA HUYU, NI YULE ALIYEMTUNZA BINTI YAKE MILLION 10 CASH UKUMBINI
ALIANZA NA BI HARUSI
AKAFUATA NA MAMA
BI HARUSI WANGU ROSE AKIMKOSHA SOPHIA
SOPHIA AKIMTUNZA MAMA NA BIBI
NYUSO
 WEDDING SELFIE
 LATIFAH & SOPHIA'S SISTER
SELFIE....
 ROSE & SOPHIA
BYE BYE SOPHY


Post a Comment

3 Comments

  1. mashallah watu wamependeza bibi na bwana harusi watarajiwa wanono sana Mungu ajawajaalie mpate wajukuu na vitukuu.

    ReplyDelete
  2. wooooow, asante antie Hellen leo tumeburudika na mashughuli watu pipo wako poa ile mbaya penda sana maharusi wetu Mungu awajaalie maisha marefu.

    ReplyDelete
  3. OffTopic: Habari wanajamvi. Ninaomba msaada wa namba ya simu ya mganga wa kienyeji. Ninahitaji sana msaada wa haraka. Tafadhari, msianze mahubiri. Natambua kua Mungu yupo, na yeye ndo muweza wa yote. Lakini katika hii dunia kuna mambo mengine inabidi tuyafanye kidunia. Tafadhari, nipo serious kwa hili. Mwenye uhakika na mganga huyo tu, na mawasiliano aweke namba hapa na aniambie mganga huyo anapatikana wapi na ni kiboko ya tiba zipi. Utani, matusi, mahibiri na mengineyo, tafadharini peleka sehemu nyingine. Nina shida sana na ya haraka na ni very serious. Mi ni mtu mzima naelewa nini nafanya. Asanteni

    ReplyDelete