TUNSUME'S HENNA DAY!!!

HII NI SIKU YA BI HARUSI KUPAKWA HINA NA KAFANYIWA SINGO, MASHAALAH BI HARUSI MWENYE FURAHA YA KUANZA MAISHA YAKE NDOA, KWA WALE WAJUZI WA WA MAMBO HAYA HII NDIO SHUGHULI MUHIMU SANA KWA BI HARUSI, HONGERA MAMA MZAZI SHUGHULI NDOGO PAMBE YA UKWELI, BONYEZA UINGIE NDANI KUONA WATU WA JIJI HILI NA MAMBO YAO HATARI

MAKEUP BY TUMAKAY....COMING SOON HAPA HAPA MASHUGHULI
MASHAALAH MPAKA HINA KATISHA....
SOMO NA MWARI WAKE PAMBE SANA
MAKEUP BY TUMAKAY MOBILE MAKEUP ARTIST, COMING SOON @MASHUGHULIBLOG
 DECOR...///
MWARI AKITOLEWA NJE
NDUNDU IKPELEKWA
NGOMA YA WARUMBA WAKIFANYA YAO
 HAWA NDIO WALE UKISIKIA NJENJE WARUMBA ENYA LETE VITU...NDIO HAWA MABIBI HATARI KWA NGOMA
MWARI AKIPAKWA HINA
SOMO AKIMTOA TENA MWARI WAKE KWA AJILI YA HINA, WADAU HII NI ADA....
MWARI AKIPAKWA HINA
CHEUSI ALITUNZAJE KWA FURAHA
MAMA AKIWATUNZA WAPAKA MASOMO
MAMA AKIMPONGEZA BINTI YAKE
 MAMA AKILIA KWA FURAHA BINTI KAKUA
MAMA AKIPONGEZWA
MWARI NA SOMO WAKCHEZA
MWARI MWARIKWA
HONGERA SOMO UMEYAWEZA......
CHAKULA
MAMA MZAZI AKITUNZWA......///
CHEUSI AKITUNZWA NA MDOGO WAKE

NYOTA NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA MAMA
NYUSO
MAMA MZAZI WA BI HARUSI CHEUSI, UMEWAKA HATARI MASHAALAH
TUNSIME & FRIENDS
MAMA AKIWA NA MABINTI ZAKE MASHAALAH!!!
SIZA WA SEGERE & FRIEND
AMINA WIFI YAKE MTU....
ODO YAKE TUNSUME
FRIENDS FOR LIFE NYOTA & SALMA
TUNSUME AKIWA NA SOMO ZAKE
MAMA MZAZI AKIWA NA FURAHA NA SHOSTITO WAKE
NYOTA & MC KIBAJAJI
NYOTA NA PAMBE YAKE
MC KIBAJAJI
SOMO YAKE TUNSUME
MAMA MZAZI CHEUSI NA SOMO WA BINTI YAKE
MASHAVU, DADA YAKE BI HARUSI
MAMA HASINA KAWAWA
SALMA KESSY & FRIENDS
SARAH DADA YAKE BI HARUSI
MC 
MASHAVU & FRIEND
MWARI NA MAMA MKUBWA
SELFIE NA SHOSTITOSPost a Comment

2 Comments

  1. Manshalaaah, tuna bahati ya kuzaliwa Tanzania, tuwazurijeeee? nimependa sanaaa kumbe tukiwa na nywele zetu fupi tunapendeza sana hadi watu wanaonekana kama wako twenties ka bi harusi ketu mwaaaaaaa Mungu akakulinde kwenye ndoa yako uwe mzuri wa sura na roho pia mami wangu.

    ReplyDelete
  2. shughuli pambe kwa sana watu wote pendeza mno mtarajiwa uko bomba make up zimefika mwao hongereni wote dada Hellen kazi nzuri mamito uko vizuri.

    ReplyDelete