CECY & CYPRIAN ENGAGEMENT DAY!!!

YAP NI SIKU YAO, CECY & CYPRIAN WALIPOAMUA KUWEKA MAMBO YOTE HADHARANI, NIMEPENDA HII COUPLE WAKO SMART SANA, CECY NI BINTI YAKE MR. KATEMBO NA HIDAYA ASPRO...ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 UTAMBULISHO WA FAMILIA ZOTE MBILI
MR. & MRS. KATEMBO
MAMA MZAZI HIDAYA ASPRO
BABA MKUBWA NA MKE WAKE
 MSHENGA AKIKABIDHI MAHARI
SALA YA KUMSHUKURU MUNGU
BAADA YA MAZUNGUMZP YA NDANI MWARI AKATOLEWA NJE
 NI FURAHA CECY AKITOLEWA NJE
MASHANGAZI WAKIMFICHUA MWARI
KISHA MCHUMBA AKAMJOIN
 WACHUMBA KILA KHERI 
PETE IKIPATA BARAKA TOKA KWA MCHUNGAJI 
 CYPRIAN AKIMUOMBA CECY AMVISHE PETE
 CYPRIAN AKAPIGA GOTI KUMVISHA CECY PETE
KISHA AKABUSU PETE
 PETE NDIO HII TANZANITE STONE
 CECY & CYPRIAN
TUMEFANIKISHA MWANZO MNZURI
 WAZAZI WA CECY WAKIFURAHIA PETE YENYE JIWE LA TANZANITE ALIYOVISHWA BINTI YAO
PETE NDI HII MAMA
NI FURAHA KWA WAZAZI
 MAMA MZAZI HIDAYA ASPRO
 MR. KATEMBO NA BINTI YAKE KIPENZI
WAZAZI NA VIJANA WAO
CYPRIAN MCHUMBA
MR. KATEMBO AKIONEKANA MWENYE FURAHA
WAZAZI NA VIJANA WAO
SISTER & BRO!!
CECY & BRO KEVIN
MRS. KATEMBO NA BINTI YAKE
CECY & SHOSTITO WAKE
 HIDAYA ASPRO AKIPERUZI MASHUGHULIBLOG MDAU WA UKWEE'E 
BABA MZAZI WA ASPRO
 I LOVE THIS AFROOO!!
WAKWE
WIFI AKE CECY
 MAMA MZAZI WA CECY HIDAYA ASPRO MAMA WA MUJINI
SHANGAZI
WAZAZI WAKIONGEA
BABA MZAZI WA CECY MR. KATEMBO
CECY & SHOSTITO
MAMA WADOGO W CECY


Post a Comment

0 Comments