HAWA's SINGO!!!!

Bride                               :: Hawa
Event                              :: Singo Party
Venue                             :: Chichi Hotel
Color                              :: Purple,  Orange & light Blue
Makeup                          :: Hanath
Photosby                       :: Mashughulimedia - +255655426100
 SINGO YA HAWA IKIONGOZWA NA MASOMO MAHIRI NA MAKINI NYOTA NA SALMA, HAWA PENDEZA SANA NA MAKEUP IKO POA BY TUMAKAY, WARUMBA WATOA BURUDANI SAFIII ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 HAWA NA SOMO ZAKE NYOTA & SALMA
 DECOR....///
 MC - SIZA
MWARI AKIINGIZWA UKUMBINI NA SOMO NA PAMBE YAKE
 MWARI AKIFICHULIWA
BURUDANI
NGOMA YA WARUMBA
MWARI AKICHEZA
ZAWADI

 MAMA MZAZI AKIKABIDHI RISITI YA FURNITURE MIL. 4 NA LAKI 1
TANESCO WAKIMTUNZA HAWA 
CHEUSI AKIWAKOSHA MAMA NA MASOMO
MASHANGAZI WAKIPELEKA ZAWADI
HIDAYA ASPRO AKIMTUNZA MAMA
MAMA AKIWAFUTA JASHO MASOMO
MAMA AKITUNZWA NA MWARI WAKE
KHADIJA MMNYIKA AKIWATUNZA MASOMO
MARIAM RAISI YA VIJORA AKITUNZA
CHAKULA
NYUSO
 SALMA
 MAMA MZAZI NA MASOMO
 BYE BYE MWARI NA SOMOSPost a Comment

4 Comments

 1. Kapendeza bi haruc mashallah na makeup on pont!!!!

  ReplyDelete
 2. Shughuli taam sana, umetokelezeaje? Bi Harusi kapendeza zaidi kuliko Send-off.

  ReplyDelete
 3. Hiyo makeup sio tuma Kay ni Malkia makeup by Anath

  ReplyDelete
 4. MASHALLAH HARUSI NZURI SANAA KILA MTU NI MWENYE FURAHA, HONGERA KWA MAHARUSI ALLAH AWAPE MAPENZI YA KWELI NA MAISHA YA FURAHA DAIMA.

  ReplyDelete