HAWA'S SENDOFF PARTY!!!!!

Bride                                      :: Hawa
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Officers Messy
Color                                     :: Blue & Yellow
Makeup                                 :: Tuma Kay – 0714 883 464
Cake                                     ::
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI SENDOFF YA BINTI MPOLE, MKARIMU MWENYE UPENDO NA HESHIMA HAWA, MASHAALAH PENDEZA SANA, SHUGHULI PAMBE WAFANYAKAZI WA TANESCO TISHA SANA, HAWA AKIONGOZWA NA SOMO YAKE NYOTA LIVE AKIIMBA KUMTAFUTA MCHUMBA SANA....

HAWA NA MPAMBE WAKE LOL
MAMA NA MWANA
MWARI NA SOMO ZAKE, MASHAALAH
DECOR....///
 MC - MWAMBENI
YAP ANWEZA KWELI KWELI, VERY SMART - 0713494725
WAKIINGIA...
MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBINI
MAMA AKAPOKELEWA
HAWA AKIINGIA NA MPAMBE WAKE UKUMBINI
MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
DUA...
 KAMATI YA SHUGHULI
 MWENYEKITI WA KAMATI
 KAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI YAO YA CHEQUE
 HAWA AKITOA UTAMBULISHO
HAWA NI MSICHANA MKARIMU NA MWENYE HESHIMA, MASAA YOTE ANACHEKA...
 WAKWE INTRO...
 MASHANGAZI WAKIELEWANA MAPEMA
 CAKE
 CHAMPAGNE....///
HAWA AKISINDIKIZWA NA SOMO YAKE SUPER STAR NYOTA AKIIMBA LIVE
AKAJITOKEZA KIJANA MTANASHATI WAPIIII SI WEWE
HAWA AKITULETEA MCHUMBA WAKE!!!
HONGERA KAKA UMEBARIKIWA MKE MWEMA
KISHA HAWA AKAMVISHA ZAWADI YA SAA MCHUMBA
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI
MAMA MZAZI AKIMTUNZA BINTI YAKE MADINI....
SMART LADIES GROUP
 WAFANYAKAZI WENZAKE HAWA TOKA TANESCO
 WAKIKABIDHI RISITI YA NEW FRIDGE
 MAMA AKITUNZWA NA VIJANA WAKE
NYUSO
PENDEZA SANA
MAMA MZAA CHEMA PENDEZA SANA MASHAALAH!!!
MCHUMBA
BROTHER & SISTER
SELFIE
TANESCO TEAM
PAMBE
SOMO WA UKWEE'E HAKIARIBIKA KITU
SWEET GIRLS
 MASOMO NA MCHUMBA WA MWARI WAO
PENDEZA SANA
 SALMA KESSY
BYE BYE HAWA...

Post a Comment

0 Comments