HK's COLLECTIONS AFRICAN PRINT COUTURE!!!!

 YAP!!! NI DUKA JIPYA KABISA LA AFRICAN PRINT, HAPA UNAPATA VITENGE. LICE MATERIAL ORIGINAL NA KUSHONEWA NA MAFUNDI WALIOBOBEA TOKA WEST AFRICAN, VITENGE TOKA NCHI MBALIMBALI ZA AFRICA PIA WANADARIZI NGUO MAUA MBALIMBALI, CHINI YA MKURUGENZI HALIMA KAMUSI UTAPATA VITU VYA UHAKIKA, KWA WALE WANAOTAKA KUFUNGA SARE HUDUMA INATOLEWA...

WANAPATIKANA       :: KINONDONI BIAFRA NYUMA YA JENGO LA AIRTEL MTAA WA                                           OFISI ZA DAWASCO 
MAWASILIANO          :: +255 715 555 525
INSTAGRAM PAGE    :: HALIMAKAMUS70

BAADHIA YA NGUO ZILIZOKO DUKANI
 MAXI DRESS
NYUMA
SKIRT YA VITENGE VYA CHANGA
CHANGA BLOUSE
 WANADARIZI MAUA TOFAUTI
 VITENGE
LACE MATERIAL
MZIGO UKO WA KUTOSHA (UNLIMITED)Post a Comment

5 Comments

 1. MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH

  ReplyDelete
 2. Good article….found a similar interesting article in this website called craftwed

  ReplyDelete
 3. Mwanamke stara na asli mjivunie na kivazi cha utamaduni kinachowajulisha mumetokea corner flani dunia bila kuulizwa msikae kuiga ya wazungu muwaache.mtatuogezea balaaa nchini na jua kali kuzidi kwa matendo mabaya na mavazi ya nusu uchi mnayovaa hata baraka za mungu zinapotea.

  Mambo ndo haya sahivi nguo nzuri

  ReplyDelete
 4. Duh! I'm totally confused yaani vitenge vyote vizuri, mashaallah Halima Kamusi hongera sana mami. Nitakuwa hapo Jumamosi

  ReplyDelete
 5. mashaallah dada Halima Allah akufungulie rizki

  ReplyDelete