SHUU SINGO PARTY!!!

Bride                          :: Shuu
Event                         :: Singo Party
Venue                        :: Kariakoo
Makeup                     :: Twaiba
Color                         :: Orange, Purple, Green
Caterer                      :: Yahya Caterer
Photosby                  :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI ILE SINGO YA SHUUU, MTOTO WA KARIAKOO HAPANA CHEZEYA WATU NYOMI SARE ILIYOTIA FORA  KWA KUVALIWA MWAKA HUU, NI YULE BI HARUSI ALIYEPELEKWA NA MABAUNSA SALOON WAKIWA WAMEVAA TISHIRT ZA JINA LAKE NI MIPANGILIO TU YA SHUGHULI JE UTOKE VIPI??

MASHAALAH PENDEZA SANA
WALINZI WAKIFANYA KAZI YAO
 SHUFAA, HALIMA HASANOO & ASHA, MUTUU TATU
DECOR..////
 MC
SHIKAMOOO........UNAITWA NANI VILE...
BI HARUSI AKIINGIA.....
PAMBE YA SOMO HIYO WADADA WA MJINI HAO...
SHUFAA AKIFICHULIWA
SHUU AKISALIMIA WAGENI MASHAALAH
SHUFAA AKITUNZWA NA SOMO
 MC DALILAH JAGGAR AKIWAINGIZA MASOMO
SOMO NA MWARI PAMBE SANA
 HAFSA MA SHOSTI WAKE WA UKWEE'E WAKIWA NA BI HARUSI
MWANAIMA AKIWAGA MIHELA HAPANA CHEZEYA...
 MWANAIMA. HAFSA, TATU & FRIEND
BI HARUSI SHUFAA AKIINGIA NA NGUO YA PILI MASHAALAH PENDEZA SANA
JOSE MKWECHE AKITUNZA
UMEONA MAHERA HAPANA CHEZEYA MUKE YA HASANOO
HALIMA HASANOO AKIMKOSHA BFF WAKE WA UKWEE'E
ASHA NA KAMPANI YAKE AKIMKOSHA SHUFAA
MOO CHAKA KAMA KAWAIDA YAKE
SHUFAA AKITUNZWA
BIBI AKITUNZWA
ASHURA AKIMKOSHA WIFI YAKE HALIMA HASANOO
HALIMA HASANOO AKITUNZWA
 FARIDA TOM AKIMKOSHA HALIMA HASANOO 
CHAKULA
 MAMBO YA ANKAL YAHYA
BURUDANI
NYUSO
MWANAIMA & SHUU
HINDU & SHUU
NANAH, FARIDA & FRIEND
MC DALILAH JAGGAR
HASINA MOO
MC JAMILA, SITUU MWASU & FRIEND


Post a Comment

1 Comments

  1. Mmmmh !!!! tutaona mengi miaka hii, haya........

    ReplyDelete