TAMBAJNR & REHEMA WEDDING RECEPTION!!!!!!!

Groom                                   :: Tambajnr Tamba
Bride                                      :: Rehema
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: Mirado Hall
Color                                     :: Green & Hot Pink
Makeup                                 :: Nadya House
Cake                                     ::
Entertainment                     :: Nyota frm Njenje
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
BAADA YA BAG PARTY ILIYOSIMUMUA JIJI, LEO NI WEDDING RECEPTION BADO MAHARUSI PENDEZA SANA, NI MUENDELEZO WA NAIJA SWAGGA KWA MBALI, MASHAALAH NAWEZA SEMA REHEMA & TAMBAJNR NI LUCKY COUPLE KILA KIT KIMEKWENDA VINZURI SANA ZAMA NDANI KUJIONEA

DECOR......///
MC
WAZAZI WAKIINGIA UKUMBINI
KAMA KAWAIDA YAO LAZIMA MZIKI KIDOGO
WAKWE WAKIKARIBSHWA
MALAIKA WAKIINGIA
 REHEMA & TAMBAJNR WAKIINGIA
 MR. & MRS TAMBA WAKITOA UTAMBULISHO
MAHARUSI WAKIVISHANA PETE ZA NDOA
FAMILIA IKIONGEA NA MAHARUSI....
 WALIANZA MR & MRS TAMBA KUONGEA NA REHEMA & BABUJ
 AKAFUATIA KAKA WA BWANA HARUSI BABUJ NA MKEWE BISHARA
 BISHARA AKITOA EXPERIENCE YAKE KATIKA NDOA, HIVI INA MIAKA MINGAPI VILE? MAANA WAKATI BABUJ NA BISHARA WANAFUNGA NDOA NILIPIGA PICHA ZA HARUSI.....MALKIA WA NGUVU NAJIAMINI
 HII NDIO FAMILIA YA WANANDOA KWA DK TAMBA, BABUJ NA MKEWE BISHARA, MAMA NA BABA & NEW COUPLE IN REHEMA & TAMBAJNR
CAKE
CHAMPAGNE
CHAKULA
BURUDANI
MAHARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
 MC & MKURUGENZI WA CHEREKO CHEREKO ANGELLA AKIMSAIDIA KIDOGO NYOTA KUIMBA
ZAWADI NA HONGERA KWA MAHARUSI
 SALMA DADA YAKE MAMA TAMBA AKITOA ZAWADI KWA DR.
 WANAKAMTI WAKITOA BURUDANI
WANAKAMATI WAKIKABIDHI HUNDI YA MILLION 5
NYUSO
MAMA TAMBA
MAMA SALMA MNTAMBO
MY BEST FRIEND SALMA FROM NAIJA
MR & MRS TAMBA
NEEMA LOVELY
SUBIRA GROUP
WEDDING SELFIE
BHAI MKE WA SALUM
FATHIYA & FRIEND
SALHA, PENDA SANA WEWE
SALMA SAMPATI
NYOTA, SALMA & SHOSTITO
SAADA PENDEZA SANA
DR. TAMBA BABA MZAZI WA TAMBAJNR
MARIAM & HUBBY
 MR & MRS KISMAT
AMNE MNTAMBO
 DR. TAMBA & MR. KISMAT
ZAINABU BURA
RED CARPET


Post a Comment

1 Comments

  1. Mashallah harusi ilipendeza sana. Mungu awajaalie kheri katika ndoa yao

    ReplyDelete