TAMBAJUNIOR's BAG PARTY

 Groom                                   :: Tambajnr Tamba
Event                                     :: Bag Party
Venue                                    :: Cardinal Rugambwa Hall
Color                                     :: Blue, Gold & White
Entertainment                      :: Kongamoyo Taarab live Band
Caterer                                 :: Mariam Twahir
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
YEEES!!! NI BAG PARTY YA TAMBAJNR MTOTO WA DR TAMBA & ARAFA TAMBA NDANI YA CARDINAL HALL, SHUGHULI PAMBE SANA, BWANA HARUSI NA TEAM YAKE PENDEZA SANA NA SWAGGA ZA NAIJA NI WHITE PARTY, MAHALAT WA MJINI NDANI YA NYUMBA, ZAMA NDANI KUJIONEA MAMBO YA MJINI, DR. TAMBA AKIMFICHUA KIJANA WAKE KWA MADOLLAR SI MCHEZO

DECOR...../////
 ZAWADI
MC-JAMILA KITIMTIM
WAZAZI WAKIINGIA
RAHMA KISMAT AKIMPONGEZA SHOSTI WAKE MAMA TAMBA
FRIENDS FOR LIFE
KISHA WAKATUNZA
BWANA HARUSI AKIINGIA
SWAGGA WAKAVUA VIBANDIKO
WAKITUNZWA HAKIKA WAMEPENDEZA SANA
WAKISALIMIA WAGENI
DUA...
KAMATI ILIYOFANIKISHA SHUGHULI PAMBE
MWENYEKITI WA KAMATI
FICHUA TAMBAJNR
 BABA MZAZI NA KAMPANI YAKE WALIOVAA WHITE LINEN WAKIMFICHUA KIJANA WAKE
 DR. AKITOA MADOLLAR
UMEONA EEEH
DR. AKIHESBU MAHELA KWA KIJANA WAKE
HUKU MAMA AKIPONGEZWA
INTRO.....////
CAKE
CHAMPAGNE
BI HARUSI AKIINGIA
AKATUNZWA KWA ALIVYOPENDEZA
TAMBAJNR AKAMKABIDHI MAUA
TAMBAJNR AKIMTAMBULISHA REHEMA
 BABA NA MAMA WAKIWAPONGEZA
MAMA TAMBA NA WAKWE ZAKE
CHAKULA
BURUDANI
 MC JAMILA AKIWA NA DJ MOODY
 KONGAMOYO LIVE TAARAB BEND
ZAWADI
 FAMILIA IKIKABIDHI ZAWADI
 MR & MRS KISMAT WAKIMPA ZAWADI TAMBAJNR
 BI HARUSI AKITUNZWA
 BISHARA MKE WA KAKA YAKE BWANA HARUSI AKIKABIDHI ZAWDI YAO
 WAKWE WAKITUNZA
 SALMA MNTAMBO WAKIMTUNZA ARAFA TAMBA KWA NIABA YA MWARI WAKE REHEMA
 NEEMA AKITUNZA
SUBIRA WAKIMTUNZA MAMA TAMBA
 MARIAM MKWECHE AKIMTUNZA MAMA TAMBA
 BISHARA AKIFUTWA JASHO NA WANA SUBIRA GROUP JUNR
NYUSO
MR & MRS TAMBA
SUBIRA JUNIORZ
DOTTO & MWANAISHA
MZEE KISMAT
MAMA NA MWANA
RAHMA & BI HARUSI REHEMA
PILLY PENDEZA SANA SHOGA
ARAFA & MKWEWE BISHARA
SISTERZ NEEMA & SALMA
SALAMA & SHARIFFA HASHIM
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI ARAFA TAMBA UMENOGAJE
JOKHA KABOTOKA & FRIEND
RAHMA KISMAT MASHAALA PENDEZA SANA
ZAINAB & MAMA (SHUMU)
MARIAM MNTAMBO
ARAFA TAMBA & FRIEND
SISTERZ
MARIAM
BIBIE & FRIEND
MARIAM & SALMA
BIBI
MARIAM & MR & MRS  TAMBA
DR. TAMBA
SALMA & BIMKUBWA
FATHIYA
ZAINAB BURA
MAMA NA MWANA
HAMIDA & MUHAZA
SALMA MANSEN & FRIENDS
MUHAZA, BISHARA & SWEETY
MAMA NA MWANA
SITUU MWASU
DR. TAMBA, SALMA MNTAMBO, SALMA SAMPATI & MARIAM MNTAMBO
SUBIRA GROUP WAKIWA NA JUNIORZ
MIE NA WADAU WANGU WA UKWEE'E SIKU ZOTE
RED CARPET
BYE BYE TUTAONANA KWENYE WEDDING RECEPTIONPost a Comment

1 Comments

  1. Hii shughuli nimeipendaaaa mnooo color imezingatiwaa na makeup on point!!!kila kitu kimependeza haswaaaaa Kama tuko Niger wallah...big up Dr Tamba

    ReplyDelete