ZUHURA & SAID ENGAGEMENT DAY!!

YES!!! NI SIKU YA ENGAGEMENT KATI YA ZUHURA & SAID, MASHAALAH PENDEZA SANA SANA TU, UKISIKIA HILI BASI KWA UWEZO WAKE ALLAH ATAJAALIA MAMBO YOTE YAKAMILIKE INSHAALAH

MAMA WADOGO WAKIWA NA WACHUMBA
SISTER & BROTHER
ZUHURA & SAID WAKIWA NA WADOGO ZAKE

SHEMEJIS HAO...


MIE NA ZUHURA WANGU
SIO TENA TUKISHANGAA PETE
MAMA NA MWANA MASHAALAH
WAKWE WAKIINGIA NYUMBANI 
WAKWE WAKIINGIA
MAHARI IKIHAKIKIWA
MAJIRANI
MAMA WADOGO MARIAM & MAMA NASHY
MAMA MDOGO ANNA
KAKA JAMAL DR. AKITAMBLISHWA
UTAMBULISHA KWA WAKWE
ZUHURA AKITOLWE...
MC ANNA NA MAMA MDOGO AKIFANYA YAKE KWA NAFASI
SAID AKIMTULIZA BIBI NA KITENGE
SAID AKIMFUNUA MCHUMBA
ZUHURA AKIVISHWA PETE
BIBI AKIWAPONGEZA
MAMA MKWEWE AKIMTUNZA KITENGE ZUHURA BAADA YA KUVISHWA PETE
MAMA MDOGO MARIAM NA AKIWAPONGEZA WACHUMBA
WAZAZI NA BINTI YAO
ZUHURA NA MKWEWE MAMA YAKE SAID
MAMA NA MWANA
ZUHURA NA MAMA ZAKE
ZUHURA & SAID NA WAZAZI WA ZUHURA
ZUHURA & DADDY AKE
SAID NA MKWEWE
CHAMPAGNE 
BABY FETTY
CHAKULA
Post a Comment

0 Comments