JUMA & AURAT WEDDING RECEPTION!!!!!

Groom                                   :: Juma
Bride                                      :: Aurat
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: Kwalalumpa Hall
Cake                                       ::
Makeup                                 :: Maznut Bridal Saloon
Color                                     :: Red, Light Blue & Cream
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
HONGERA JUMA & AURAT MMEPENDEZA SANA SANA, HII COUPLE NI WASIKIVU WOTE, NI FURAHA YETU KUFANYA KAZI NANYI, HONGERA MWL MWANNE KILAGA SHUGHULI PAMBE SANA ZAMA KUONA ZAIDI

DABBING...
 DECOR..../////
MC
MAMA MZAZI AKIINGIA
 WAKWE WAKIKARIBISHWA 
 HAPANA CHEZEYA MPAMBE WA BWANA HARUSI UKO JUU....
 MAHARUSI WAKIINGIA
 MC AKIONGOZA DUA...
 KAMATI YA SHUGHULI 
 JUMA & AURAT WAKIVISHANA PETE
 INTRO....///
 KWANZA KABISA AKIMTAMBULISHA MKE WAKE
 AURAT AKITAMBULISHA FAMILIA
JUMA & AURAT WAKIKATA CAKE
 CHAMPAGNE
WAZAZI WAKIONGEA NA MAHARUSI
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI KWA JUMA & AURAT
 MWALIMU MWANNE AKIFUTWA JASHO, HONGERA SANA MWALIMU SHUGHULI PAMBE KWA SANA, WEWE MWENYE UMEONAGOJE
MWL MWANNE AKITUZWA
UMEONA TUNZA YA MZEE
 MAMA MZAZI WA JUMA, MWL MWANNE KILAGA AKITOA SHUKURANI
NYUSO
MAMA MDOGO WA BWANA HARUSI KULIA & FRIEND
 MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI MWANNE KILAGA
ILIKUWA NI FURAHA KUFANYA KAZI NA JUMA & AURAT WE WISH YOU ALL THE BEST IN YOUR NEW LIFE!!!!


Post a Comment

0 Comments