MGENI SINGO PARTY!!!!!

Bride                                      :: Mgeni Hamidu
Event                                     :: Singo Party
Venue                                    :: Lamada Hall
Color                                     :: Royal Blue & Peach (chafu)
Makeup                                 :: Nataly Saloon
Entertainment                      :: Kibao Kata
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
HAKIKA UMEPENDEZA BI HARUSI, MASHAALAH, HONGERA SANA SHUGHULI PAMBE NIMEPENDA SANA COLOR COMBINATION GELE NA RANGI YA NGUO, HIYO HENNA MPAKAJI KAFUNIKA, SHUGHULI IMECHANGAMKA, KATA MTI MMOJA PANDA MITATU, JANE GUMBO UMETISHA ETI WANASEMA KUKOSHA WEWE UMEMUOGESHA MGENI MAHELA (HUU MCHEZO HAUTAJI HASIRA) ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....

HENNA MASHAALAH
DECOR...///
 MC
 BI HARUSI AKIINGIA UKUMBINI NA PAMBE YA SOMO
 MAMA AKIMPOKEA
MWARI AKIFICHULIWA AKIFICHULIWA....
 DUA....///
 INTRODUCTION BY MGENI
BI HARUSI AKIPATA MANENO MACHACHE KWA WALIOBOBEA NDOANI..
 MC AKINOGESHA KAZI YAKE
MC SI KWAKUTUZWA HUKO, MANENO KUNTU
 SOMO AKISEMA NA MWARI
 KISHA SOMO AKATUONYESHA KAZI YAKE
 JANE GUMBO AKIMTUNZA SHOGA YAKE
BURUDANI
ZAWADI
MAMA AKIMKOSHA BINTI YAKE
 SOMO NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA MWARI
SOMO AKITUNZA
 JANE GUMBO NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA MGENI
BAADA YA KUMPA ZAWADI. AKAANZA KUMFUTA JASHO KWA WEKUNDU, MILLION 1 HAPA HASIRA HAZIUSIKA
KISHA AKAMKOSHA KWA $$$$$$ 1000, HUU MCHEZO HAUTAJI HASIRA...
HAPANA CHEZEYA HII MUTU JANE...
SHUU LEO UNAKOSHA AU UNAOGESHA???
ASANTE NDUGU YANGU 
 JANE GUMBO AKIFUTWA JASHO
SHUU AKIMKOSHA SHOSTI WAKE JANE...
NI MWENDO WA DOLLAR TENA 100 100 TU
UMEONA BURUNGUTU HILO
UMECHEZEAJE PESA..
NI KUKOSHWA TU
 FETTY AKIWAKILISHA..
NYUSO
MGENI NA HALUA LOVELY!!!
FETTY NA KAMPANI YAKE, NI SELFIE TUUUUUU
JANE TISHER HATARI
BI HARUSI NA SOMO ZAKE
FUN SELFIE...
DA T & HASFA WATU WANGU WA UKWEE'EE MIAKA 800
HAFSA & FRIEND
MIE, JANE & MGENI
 NA NDUGU YANGU DA T LUMELEZI, WAPI BAHIYA DESIGNER
PEACE & LOVEEEEE...
MGENI NA WATU WAKE
SELFIE ZA KUMWAGA...
 MIE NA MGENI UMENOGA SANA.....
BYE BYE INSHAALAH KHERI....


Post a Comment

0 Comments