MOHAMED BAG PARTY!!!!

Groom                                   :: Mohamed Macknoun
Event                                     :: Bag Party
Venue                                    :: Nadds Hall
Color                                     :: Yellow, Light Blue & Silver
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI BAG PARTY YA MOHAMED MDOGO WAKE SHUU, HAPANA CHEZEYA DADA WA BWANA HARUSI TISHA SANA KAMTUNZAJE SASA BI HARUSI KUANZIA FURNITURE, DOLLAR MPAKA MADINI YA WIFIE BONYEZA KITUFE KUONA MAMBO ZAIDI

SISTER & BRO!!!
SHUU NA RAFIKI ZAKE
DECOR....///
MC DALILA
BWANA HARUSI AKIINGIA...
BWANA HARUSI AKIFICHULIWA
SHUFAA AKIMFICHUA MDOGO WAKEINTRO......///
BEST FRIENDS FOREVER.....
SHUU AKIMTAMBULISHA SOMO YAKE HAFSA RAMADHAN
CAKE
CHAKULA
BURUDANI
MOHAMED AKIINGIA NA NGUO YA PILI
PENDEZA SANA BAADA YA KUVAA AFRICAN SASA KABADILI
ZAWADI
KABATI LA NGUO
KISHA AKAMKABIDHI KITANDA
SHUU  AKIMTUNZA MDOGO WAKE $1000
UMEONA HIYO $ 1000, SHUU UKO JUU, HUU MCHEZO AHUTAJI HASIRA
SHUU AKIMKABIDHI KAKA YAKE SET YA DHAHABU ZAWADI YA WIFI YAKE

SHUFAA AKITUNZWA NA RAFIKI ZAKE WAKIONGOZWA NA HALIMA HASANOO
NYUSO
SHUU & JOSE
MAHARUSI WANGU HAO TUNSUME & AHMED PENDA SANA
OSWARD & FRIEND
SHUU DADA YAKE MOHAMED
HASINA & CHUNA....
HALIMA HASANOO & FRIENDS
RED CARPET

Post a Comment

1 Comments

  1. Aisee sherehe nzuri ila makeup duuuuh its horrible! kuanzia dada mtu hadi wageni wengine. Wamepaka makeup nyingi mnooo.

    ReplyDelete