NANCY's SENDOFF PARTY!!!

Bride                                      :: Nancy Nyangoma
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Law School Hall
Color                                      :: Blue & Peach
Makeup                                 :: Nataly Saloon
Cake                                      :: 
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI SENDOFF YA NANCY, BINTI MREMBO, MWENYE HESHIMA PENDEZA SANA NANCY YUKO VERY SIMPLE, RANGI YA NGUO NZURI, HAIRSTYLE NZURI MNO NA MAKEUP IMETULIA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

DABBING...
 NANCY NA MAMAS...
NANCY & DAD AKE
NANCY & BROTHER...WANAPENDANA SANA...
DECOR....///
 MC
WAKWE WAKIINGIINGIA UKUMBINI
 WAPAMBE WAKISAFISHA NJIA....ZOEZI LIMEFANIKIWA...
BI HARUSI NANCY AKIINGIA UKUMBINI
 DUA...
INTRO....///
CAKE
CHAMPAGNE.....!!!
NANCY AKIMSAKA BARAFU WA MOYO WAKE!!!
 KWANZA ALIMPA ZAWADI YA BIBLE, WOOH NANCY HII NZURI SANA
 KISHA AKAMUONGEZEA ZAWADI NYINGINE
HUYU NDIO MCHUMBA WANGU
KISHA AKAMKARIBISHA CHAKULA CHA JIONI
NANCY NA MCHUMBA, HUSBAND TO BE..!!!
 BURUDANI
ZAWADI KWA BINTI MREMBO NANCY
MAMA AKIMKABIDH BIBLE
MAMA AKIMKABIDHI ZAWADI YA MKEKA

YES NANCY AKIKOSHWA NA SHOSTIS
MAMA AKITUNZWA
 KAPU LA MAMA
 NYUSO
NANCY & FRIENDS
 RED CARPET
BYE BABY GIRL WE WISH ALL THE BEST IN YOUR NEW LIFE


Post a Comment

4 Comments

 1. Mmmh harusi zote za wiki hii Aunt hii imependeza kiboko

  ReplyDelete
 2. Congrats my ant MUNGU asimamie ndoa yako.hongera mashughuli blog kW picha nzuri sana

  ReplyDelete
 3. It was awesome. Thanks Mashughuli for the good production. Thumb up to your team.

  ReplyDelete
 4. HARUSI ILINOGA SANA, HONGERENI SANA, JAMANI HUYO BWANA HARUSI NI ASSESSMENT WANGU NA HUYO PEMBENI YAKE KULIA PIA SIJUHI WALIKUWA NDUGU KITU KAMA HICHO.

  ReplyDelete