SABRINA & TUWA WHITE WEDDING!!!!!!

Groom                                   :: Tuwa Ally Mbwana
Bride                                      :: Sabrina Bakar Wage
Event                                     :: Wedding Reception
Venue                                    :: Cardinal Rugambwa Hall
Decor                                     :: Hugo Domingo
Cake                                      :: Better Bakery
Makeup                                 :: Lavie makeup
Color                                     :: White & Silver
Entertainment                      :: OZ Band
Photosby                             :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 21 Feb 2016
YES NI WHITE WEDDING PARTY, HONGERA KWANZA MAHARUSI WANGU SABRINA & TUWA MMEPENDEZA SANA, WAKIMAANISHA WHITE PARTY WENGI WAO TULIVAA WHITE BUT WACHACHE WALIOTUPIA RED AU BLACK NDIO WALIOTIA DOA WHITE PARTY KITU MUHIMU TUZINGATIE DRESS CODE, UKIJA KWENYE DECORATION I SALUTE HUGO DOMIMNGO KIBOKO YAO, SABRINA NA MDOGO WANGU NAMFAHAMU KITAMBO KILICHONIFURAHISHA SABRINA & TUWA WALIKUWA MARAFIKI TANGU UTOTONI MWAO, NDIPO WALIPOONANA TENA BAADA YA MIAKA NA KUPENDANA, SABRINA NI BINTI MSIKIVU NA MWENYE HESHIMA, SHEREHE YAVUNJA HISTORIa YA KATA MTI PANDA MTI MAANA NILIKWAMIA  SEHEMU FULANI HIVI......ILIKUWA  K.K.K

MAMA & BABY BOY
FAMILY
WITH THE BLESSING BABY BOY
SABRINA & DADA YAKE MWANABIBI
 DECOR...////

MC
SABRINA NA TUWA WAKIINGIA
KAMATI
INTRO......
CHAMPAGNE
SABRINA NA TUWA WAKIKATA CAKE
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADINA HONGERA KWA TUWA & SABRINA
BABA AKITUNZWA
NYUSO
SITTU MWASU & HUBBY
BIBI LILLY
WAZAZI WA BWANA HARUSI 
BAHI & NEEMA
JACK & SALHA
SABRINA & ODO DIANA
SISTERZ
MAMA NA BINTI ZAKE MASHAALAH
ALI KAFAYA....
SABRINA & WIFI YAKE MARIAM MTAMBO
BIBIE & DIANA LUMELEZI
MIE & MR & MRS WAGE
HAWENA & FRIEND
   
MARIAM MNTAMBO
SABRINA & TUWA WAKIWA NA DA T
SABRINA, TUWA & WIFIE
SABRINA NA MKWEWE

Post a Comment

0 Comments