SALMA & AZIZ NIKAH!!!!

Bride                                      :: Salma Kibene
Groom                                   :: Aziz
Event                                     :: Muslim Wedding
Venue                                    :: Upanga
Color                                      :: Blue & Pink
Makeup                                 :: GNG Saloon
Caterer                                  :: Asha Nassor
Décor                                     ::Haika Décor
Designer (bride)                   :: Jokha Simba - +255 715 612954
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
MASHAALAH PENDEZA SANA AZIZ & SALMA KWENYE NDOA YENU, BI HARUSI MAKEUP YAKE PERFERCT BY GNG SALOON, NGUO ZAKE ZOTE MBILI ZIMEMKAA KAZI NZURI YA DESIGNER JOKHA SIMBA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

NGUO YA SALMA DESIGNER JOKHA SIMBA - 0715 612954
AISHA MASIKA NA MWARI WAKE
DECOR...///
NDOA IKIFUNGWA MASJID MAAMUR
DUA...
AZIZ AKISAINI CHETI
BAADA YA NDOA BWANA HARUSI AKIPONGEZWA
MAULID
MAULID YAKISOMWA
BI HARUSI AKIINGIA
BWANA HARUSI AKIINGIA...
KAWAIDA KAKA YAKE SALMA KAKALIA KITI CHA SHEMEJI MPAKA KIELEWEKA, HUU NI UTANI WA MAKABILA
MAHAFUDHI KAKA YAKE SALMA KISHAELEWANA NA AZIZ
AZIZ AKIMFUNUA MKEWE
HONGERA SOMO AISHA MASIKA NAKUONA NA MWARI..
SHANGWE NA VIGELEGEL
HANIMO WIFIYE SALMA NA WATOTO WAKIWA NA MAHARUSI
JAFFAR & ABDALLA KAKA ZAKE SALMA NA MAHARUSI
HASINA & SALMA
DUA....
 CHAKULA
CATERER ASHA NASSOR..
MAHARUSI WAKIINGIA, BI HARUSI ALIVAA NGUO YA PILI DESIGNER MAMA YAKE JOKHA SIMBA
BIRTHDAY
SIKU YA FURAHA BIRTHDAY MARIAM, TIFFU & AZIZ
FAMILIA MOJA...
BURUDANI
AZIZ AKIMTUNZA MKEWE
PICHA YA CHINI MIRIAM AZIZ AKITAMBA NA RAHA ORIGINAL
ZAWADI KWA MAHARUSI
NIKIMSINDIKIZA MAMA YANGU SAADA BRAZACK KWENDA KUTOA ZAWADI
BI SAADA NA WANAE
BI ASHA MKE WA MAKAMU WA PILI WA RAISI ZANZIBAR AKIKABIDHI SANDUKU
SANDUKU HILO LA BI ASHA
KISHA AKAWATUNZA WARUMBA MSIMBAZI KILA MMOJA
HONGERA MZAZI UMEWEZA
SALMA AKIMKSHUKURU BI ASHA
PICHA YA PAMOJA NA MH. MAMA ASHA, MKE WA MAKAMU PILI WA RAISI ZANZIBAR
SAADA AKIMVISHA BI HARUSI VIKUBA
SHARIFFA HASHIM, HIDAYA MCHOWELA WAKIPELEKA ZAWADI
MAMA WA BI HARUSI FATMA SIMBA AKIFUTWA JASHO NA SHOSTI WAKE FATMA KIMARIO
WAZAZI TUKIWA PAMOJA BAADA YA KUTUZWA DOTI YA KHANGA NA MAMA MWANAHAMIS CHAMUNGA'NDA
HAJAAT JOKHA SIMBA AKIFUTWA JASHO NA VIKOBA
WANA VIKOBA OYEEE
DADA WA BI HARUSI TOKA ZANZIBAR SAADA AKIKOSHWA NA MASHOSTI
NYUSO
MAMA WA BI HARUSI FATMA SIMBA AKIWA NA RAFIKI YAKE KIPENZI LIDYA PAMOJA NA BINTI YAO
MIE NA SHOSTI WANGU NOUR AZIZ
JOKHA SIMBA, NURU MWENE & SADDA MAMA YA ZENJ
MAMA MZAZI WA AZIZ NA WANAWE
ALLY & SALMA
SHARIFAA HASHIM
WIFIS & MAHARUSI
BROTHRZ
TETA & UMAIYA & MAHARUSI
BI HASINA KAWAWA
DALILA & FATMA ADAM
JAFFAR NA MAHARUSI, BADO WEWE SASA
SOMO NA MAHARUSI
KAKA TEWA NA MAHARUSI
SALMA TEWA & MAHARUSI
JAFFAR & MKEWE HANIMO PAMOJA NA MAHARUSI
SALMA SCHOOL MATE....
KARIM & WIFE HONGERA SANA
BI SAADA BRAZACK
TWA NA MKEWE KIPENZI
HIDAYA & FRIEND
MAHARUSI WAKIWA PAMOJA NA KAKA ZAKE SALMA MAHAFUDH & TIFFU

Post a Comment

0 Comments