ELEGANT BEATRICE'S NIGHT!!!!!!

Bride                                      :: Beatrice Mwaipopo
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: King Solomon
Cake                                      ::
Makeup                                 :: Glambox Weddings
Dressby                                :: Elisha Red Label
Color                                     :: Red & Forest Green
Caterer                                  :: Eaters Point
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                      :: 25 May 2016
BEATRICE HAKIKA UMEPENDEZA SANA NDANI UA USIKU WAKO, BEATRICE ALIANDAMA NA MAIDS WAKE WAKIWA WAMEVAA NGUO ZA RANGI NYEKUNDU, WAKIINGIA UKUMBINI KWA MBWEMBWE ZA AINA YAKE, SHEREHE YA AINA YAKE ILIYOCHANGAMSHWA NA LIVE BAND MDAU BONYEZA KITUFE KUONA ZAIDI

DECOR........//////
CAKE
  MC
UKUMBINI
 WAZAZI WAKIINGIA
PRAYER FIRST...
 BEATRICE AKIINGIA....
 SALA YA KUFUNGUA SHEREHE YA USIKU WA BEATRICE
 BEATRICE AKITAMBULISHA FAMILIA
MR & MRS MWAIPOPO WAZAZI WA BEATRICE
 WAKWE WAKITOA INTRO
 KAMATI ILIYOANDAA SHUGHULI 
HAPPY BEATRICE NA KAMATI YAKE
 MWENYEKITI WA KAMATI MR. MWAKIPESILE
CAKE
 CHAMPAGNE
CHEERS!!!!!
DAD'S DAUGHTER
 KWAITO YA BEATRICE
BEATRICE AKIMSAKA MCHUMBA WAKE
 ZAWADI YA BEATRICE KWA MCHUMBA WAKE NI CHAKULA CHA ASILI, NDIZI KABILA LA MCHUMBA CHAGGA
BEATRICE AKIMLETA MCHUMBA WAKE
 BEATRICE AKIMKARIBISHA MCHUMBA CHAKULA CHA JIONI
 BEATRICE NA MAIDS WAKITOA SHOW YA UKWEE'E
BURUDANI
ZAWADI KWA BEATRICE
 WAZAZI WAKIMKABIDHI BEATRICE ZAWADI ZAO
 WAKIMPA VITABU VYA SALA
 KISHA WAKAMKABIDHI FUNGUO YA GARI 
 WAFANYAKAZI WENZAKE BEATRICE TOKA TANESCO, WAKIMPA VIFAA VYA USAFI
 WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI
NYUSO
WAZAZI WA BWANA HARUSI
 MWAHIJA - QUEEN OF FABRIBICS
 MAMA MZAA CHEMA
RED CARPET
BYE BYE BEATRICE MASHUGHULIMEDIA TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI KWENYE MAISHA YAKO MAPYAPost a Comment

1 Comments

  1. hii shughuli ipo vizuri ina watu wazito alaf wenye akili zao. ongera bite
    watu wa heshima kibao

    ReplyDelete