CLASSIC RED, BLUE & WHITE HAWA'S SENDOFF PARTY!!!!!!

Bride                                      :: Hawa
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Danken Hall
Cake                                      ::
Makeup                                 :: Vero Salon – 0713 244 970
Color                                     :: White, Red & Blue
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
 YES NI SENDOFF PARTY YA BINTI MREMBO HAWA, MASHAALAH HAWA YOU SO BEAUTIFUL, NGUO IMEKAA VINZURI, HONGERA VERO KWA MAKEUP NZURI NA HAIRSTYLE NAKUAMINIA, SHUGHULI PAMBE SANA.....

  MAMA NA MWANA MASHAALAH!!!
DECOR...///
 MC - FIKIRI KAZI YAKE NZURI SANA, ANAJUA MAUJUZI KIBAO ANAPTIKANA KWENYE N0.: +255 717 647 282
WAZAZI WAKIINGIA
BABA NA MAMA PENDEZA SANA

WAPAMBE WA HAWA WAKISAFISHA NJIA.....
 BEAUTIFUL HAWA AKIINGIA UKUMBINI....///
MTUMWA NA WATOTO WAKE FURAHA TELE
 DUA....
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARISHA WAGENI
 CHAMPAGNE 
HAWA NA UNCLE CHINA
 CAKE
MAMA CHOZI JAMANI....
 KWAITO YA HAWA
INTRODUCTION....///
 WAKWE WAKITAMBULISHA
 HAWA AKIPATA MANENO TOKA KWA FAMILIA
HAWA AKITULETEA MCHUMBA WAKE TUMUONE
KAMUONA MCHUMBA
AKIMVISHA ZAWADI YA JISAA....
 MAHABA YA KWELI
 HAWA NA HUSBAND TO BE
 CHAKULA
BURUDANI
MKONO WA HONGERA KWA HAWA
FAMILIA YA HAWA IKIMPONGEZA
BIBI YAKE HAWA AKIMPONGEZA MJUKUU
MAMA NA MWANA MASHAALAH
MAMA AKISHUKURU.....
WAKWE WAKIMPONGEZA
MAMA MKWE AKIMPONGEZA
 HAWA AKITUNZWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE
 HAWA AKITUNZWA NA KAKA ZAKE
MTUMWA AKITUNZWA HONGERA SHOGA YANGU UMEKUZA...
MTUMWA AKIKOSHWA
HAWA AKITUNZWA NA SHOSTITO
VERO NA MUME WAKE WAKIMPONGEZA HAWA
 KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI
HAWA AKIKABIDHIWA CHEQUE YA DOLLAR......
KAKA YAKE HAWA AKIONGEA
 NYUSO
PENDEZA SANA
CHINA, ANKO AKE HAWA & WIFE
MASOMO PAMBE TU!!!
WAZAZI WA BI HARUSI HAWA, MASHAALAH BADO VIJANA EEEEH!!!
LOVELY!!!!!
MASHAALAH PENDEZA SANA VERO & HUBBY WAKE MIAKA 100
WAZAZI WA BWANA HARUSI
WEDDING SELFIE.....
MTUMWA NA SOMO WA BINTI YAKE PENDEZA SANA
FRIENDS FOREVER 
MWAHIJA & FRIEND
CHICHI, MIE, VERO & HUBBY
MIE NA MDOGO WANGU MRS MWAKITALU
HAPPY PEOPLE
BYE BYE INSHAALAH KILA KHERI KWENYE NDOA YAKO
Post a Comment

1 Comments

  1. Hawa pendeza sana, babake Hawa HB safi saana.

    ReplyDelete