HAWA's KITCHEN PARTY!!!!!!

Bride                                      :: Hawa
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Mango Garden
Cake                                      ::
Makeup                                 :: GNG Saloon
Color                                     :: Red, Blue & Yellow
Dressedby                            :: Doris
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                       :: 21st May 2016
HAKUNA LA KUSEMA  ZAIDI YA UMEPENEZA HAWA MASHAALAH, YOU ARE SO LUCKY GIRL MIJIZAWADI INATISHA MAMA KAFANYA SHUGHULI ANYWAY TUSIONGEE SANA MARA TUKAHARIBU ZAMA NDANI HUJIONEEE


GAUNI LIMEKUFIT SAWASAWA
NIMEPENDA ULIVYOITUPIA RED
MTUMWA NA SHOGA YAKE
 MAMA MZAZI WA BI HARUSI
 MAMA NA MWANA
DECOR.....
MC - MUU WA UKWEE'E
MAMA MZAZI MTUMWA AKIINGIA UKUMBINI


 AKITUNZWA KWANI KAPENDEZA SANA
MAMA MZAZI MTUMWA AKIINGIZWA NA LIVE BAND
 KISHA AKAIINGIA HAWA NA PAMBE YA SOMO ZAKE
 AKITAMBA NA SOMO YAKE
 DUA
 MWENYEKITI WA KAMATI
 CHAMPAGNE
 HAWA AKITOA INTRODUCTION
 CAKE
BIBI AKILISHWA CAKE
 KISHA WAKACHEZA KWAITO
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI
 MTUMWA AKIMPA BINTI YAKE ZAWADI
 MAMA MZAZI AKIKABIDHI BEDROOM FURNITURE COMPLETE...
KISHA AKATUNZA MASANDUKU
HAWA AKIVISHWA MADINI NA MAMA YAKE
MAMA AKAFUNGWA MKAJA
MAMA MZAZI AKIFUTWA JASHO
 MAMA AKIWAKOSHA SOMO NA PAMABE YAKE
KISHA AKAMTUNZA SOMO
HAWA AKIMTUNZA MAMA YAKE
HAWA AKIWATUNZA MAMA ZAKE
SOMO AKIMTUNZA MAMA
NYUSO
PENDEZA SANA MASIKA & FRIEND


Post a Comment

0 Comments