SHUKURANI NA TAARIFA YA AROBAINI 05TH JUNE 2016 MAMA TABU J. KAYUGWA KAWAWA

SISI FAMILIA YA KAYUGWA NA KAWAWA TUNAPENDA KUTOA SHUKRANI ZETU ZA DHATI KWA PROFESSOR MOHAMED JANABI, MADAKTARI NA WAUGUZI WA TMJ HOSPITAL NA MUHIMBILI ICU YA MWAISELA WALIOJITAHIDI KUMUHUDUMIA MAREHEMU MAMA YETU BILA KUCHOKA MPAKA MOLA ALIPOAMUA KUMPUMZISHA TAREHE 28APRIL2016 NA KUZIKWA TAREHE 29APRIL2016 MAKABURI YA KISUTU.  TUNAWASHUKURU SANA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIOSHIRIKIANA NASI KWA KUTUFARIJI KWA HALI NA MALI. TUNAWAKARIBISHA  TUJUMUIKE PAMOJA KWENYE AROBAINI YA MAMA ITAKAYOFANYIKA JUMAPILI 05JUNE2016 NYUMBANI KWA BINTI YAKE ANNETTE ASHURA KAWAWA MIKOCHENI(SAA SABA MCHANA) BAADA YA SALA YA ADHUHURI. KARIBUNI WOTE.        INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUN. "HAKIKA SISI NI WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA"

Post a Comment

0 Comments