YELLOW & ROYAL BLUE ZUHURA'S SENDOFF PARTY!!!!!

Bride                                      :: Zuhura Issa Hashim
Event                                     :: Sendoff Party
Venue                                    :: Mwenge Social Hall
Cake                                      ::
Makeup                                 :: Lavie
Color                                     :: Royal Blue & Yellow
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
Date                                       :: 27th May 2016
LOVELY!!! ZUHURA SENDOFF PARTY KAPENDEZA SANA, AKIWA NA BABY GIRL WAKE WAMEVAA NGUO RANGI ZAO SARE IT WAS VERY NICE HII NIMEPIENDA JAMANI, ZUHURA NI MPOLE LAKINI PIA NI BINTI MCHANGAMFU, MAMA AKIWA PEMBENI YA BINTI YAKE ILIKUWA NI FURAHA TELE ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

ZUHURA NA BABY GIRL WAKE.....
MAPENZI TELE
CUTE BABY GIRL....
MAMA NA MWANA...
DECOR....///
 MC
WAKIINGIA UKUMBINI
ALLAH BARIK...
DABBING....
MAIDS WAKISAFISHA NJIA
 MREMBO AKIINGIA...
MWENYEKITI WA KAMATI
INTRO......
MAMA MZAZI
WAKWE
CAKE

CHAMPAGNE
WAZAZI WAKIONGEA NA ZUHURA
ZUHURA AKIMSAKA MCHUMBA
 ALIMKABIDHI MSHUMAA NA MAUA KWANZA 
 ZUHURA KWANZA ALIMPA ZAWADI YA WALLET 
 KISHA AKAMVISHA SAA
 CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI KWA ZUHURA
 ZUHURA AKIMTUNZA MAMA
 NYUSO
 MAMA MZAA CHEMA
BYE BYE ZUHURA....
Post a Comment

0 Comments