KHAIRIKA'S KITCHEN PARTY!!!

Bride                                      :: Khairika Abdallah Hashim
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Cardinal Hall (st. Peters)
Color                                     :: Orange, Light Blue & Red
Makeup                                 :: Maznut Bridal
Photographed by                :: Mashughulimedia - +255655426100
KHAIRIKA'S KITCHEN PARTY MASHAALAH PENDEZA SANA BABY GIRL, SHUGHULI PAMBE KWA SANA. PAMBE YA SOMO IKO JUU VIBAYA WAMETUNZAJE SASA....

KHAIRIKA NA MAMA ZAKE....
DECOR.....////
 MC JAMILA KITIMTIM
WAZAZI WAKIINGIA UKUMBINI......
BLOOD SISTERZ....
DA SHERRY HUYO....... NI MWANAMKE MWENYE ROHO NZURI SANA, DADA YANGU PENDA SANA WEWE
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI AKIINGIA
BI HARUSI AKIINGIA UKUMBINI SHURTI KWA KUFIKIZWA UDI
MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
DUA.....
KAMATI PAMBE ILIYOANDAA SHUGHULI....
MWENYEKITI WA KAMATI
MWARI AKIFICHULIWA...
 INTRODUCTION.....////
 KHAIRIKA AKIKATA CAKE
MAMA MZAZI AKILISHWA CAKE
MAMA MDOGO, MAMA MLEZI AKILISHWA CAKE
 MAMA MKWE AKILISHWA CAKE
MWENYEKITI WA KAMATI
 CHAMPAGNE
FARZINA & RAHMA
FADYA & FARHA.....
 CHAKULA
ZAWADI
KHARIKA AKITOA ZAWADI.....
WAZAZI WAKIPELEKA SANDUKU
KHAIRIKA NA MAMA YAKE WAKIMTUNZA MAMA MDOGO, HAPANA CHEZEYA SHURTI KWA MADINI
KAHIRIKA AKIMVISHA ODO AKE MADINI MADINI
ODO AKIVISHWA MADINI
SISTERZ.....
MAMA MZAZI WA KHAIRIKA AKISHUKURU
MAMA MZAZI WA BI HARUSI AKIKOSHWA
MWENDO WA MADINI
SOMO NA PAMBE YAKE WAKITUNZA
SHERRY AKIONGEA KWA NIABA YA MASOMO
PAMBE YA SOMO WAKITUNZA
ZAKIA AKITUNZA
BI NURU MWENE AKIENDA KUTUNZA....
HAPANA CHEZEYA NURU MWENE, MAMA YA MAGHOROFA KARIAKOO.....
UPANDE WA BWANA HARUSI WAKITOA ZAWADI
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI AKISHUKURU....
UNCONDITIONAL LOVE 
BURUDANI
DJ WA UKWEE'E WA MC JAMILA KITIMTIM AKIFANYA YAKE
NYUSO
NICE EEEH!!!
SO SWEET
KHAIRIKA & MAMA MDOGO...
MY FRIEND PACHANGA
BLOODSISTERZ.... WARDA & FADYA
MAMA NA BINTI ZAKE....MASHAALAH BI NURU UMEZAA...
MIE NA DADA ZANGU, PENDA SANA NYIE
UNCONDITIONAL LOVE
MASHAALAH!!
BYE BYE SWEET GIRL KHAIRIKA INSHAALAH  KWENYE NDOA


Post a Comment

0 Comments