NEEMA SINGO PARTY!!!

Bride                                      :: Neema Chande
Event                                     :: Singo
Venue                                    :: PJ Hall
Makeup                                 :: Lavie Makeup
Color                                     :: Yellow & Hot Pink
Photosby                              :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI ILE SINGO PARTY YA BI HARUSI NEEMA, MDOGO WAKE NICE CHANDE, BONGO MOVIE SUPERSTARS KIBAO, MC DIDA AKIENDESHA SHUGHULI KWA UMAKINI, NICE KAKOSHWAJE AUNTY EZEKIEL AVUNJA REKODI MILLION 4 NA $ 1000 NI MUDA SIJAKUTANA NA MTU MMOJA KUTUNZA MIHELA HIVI!!! NIMEMKUMBUKA NDUGU YANGU MAEHEMU TANT BOY, MUNGU AMREHEMU!!!


 SISTERZ NEEMA & NICE....
DECOR.....///
 MNTAMBO UMEFUNGWA EEEHH...
 MC DIDA ON THE MOVE
#MAWE #KOKOTO
NEEMA AKIINGIA UKUMBINI
 MWARI NA SOMO
 SALA YA KUFUNGUA SHUGHULI
MWARI AKIFCHULIWA
INTRO....///
BURUDANI
GUSAGUSA MIN BAND LIVE
KIBAO KATA
NEEMA AKIINGIA NA NGUO YA PILI, HII NI YA NYONGA....
NEEMA AKIGAWA ZAWADI
MASOMO HAO....
NEEMA AKITUONYESHA NYONGA
 NEEMA AKIINGIA NA NGUO YA 3 HII NI KWA AJILI YA KUTUNZWA....
MATUNZANO....
NICE NA KAMPANI YAKE WAKIPELEKA SANDUKU LA BI HARUSI
SASA NAMGARISHA DOGO LANGU
UMEOAN EEEH!!
SISTERZ
 NICE AKIMVISHE MADINI MDOGO WAKE
SINA CHA KUKUPA MY DADA ASANTE SANA
NEEMA AKIMSHUKURU DADA
THANK YOU MY SISTER
BI HARUSI NEEMA AKIWATUNZA MASOMO
 DADA WA BI HARUSI NICE AKIFUTWA JASHO
HAPANA CHEZEYA VIKUNDI IVYO
JUNAITHA & SWEET FLORA WAKIMKOSHA NICE
 MC DIDA AKIFANYA YAKE KWA NICE CHANDE
 AUNTY AKIMKOSHA NICE CHANDE JAMANI HUWEZI AMINI MILLION 4 NA $1000 HUYU NDIO MAMA COOKIE, MUKE YA IYOBO...
AUNTY AKAMWAMBIE NICE ZA NAKUKOSHA KWA DOLLAR 1000
MAMA COOKIE UKO JUUU!!!
CHAKULA
HAPANA CHEZEYA NICE CHANDE SUPU YA UKWEE'E KUKU WA KIENYEJI NA KILA MTU NUSU KUKU, SUPU YA KUSHIBA
NYUSO
JASMINE & NICE CHANDE
FATMA KAVU WIFI AKE SHARIFA KAVU & FRIEND
SWEETFLORA & NICE
PENDEZA SANA EEH
SELFIEZ....
AUNTY EZEKIEL & NICE CHANDE
LATIFA, NICE & FRIEND
MWANAIDI & FRIEND
JUNAITHA, JASMINEAFUA & FRIEND
SELFIEZ....
LATIFA & FRIENDS
SELFIE....
JUNAITHA PEMBA MAMA VIPODOZI FANYA KUMFOLLOW INSTAGRAM 

Post a Comment

1 Comments