ROSELINE SIA'S KITCHEN PARTY!!!!!!!

Bride                                      :: Roseline Sia Adhero
Event                                     :: Kitchen Party
Venue                                    :: Lulu Hall
Color                                     :: White & Red
Makeup                                 :: Kibelocious
Photographed by                 :: Mashughulimedia - +255655426100
ROSELINE SIA'S KITCHEN PARTY, SHUGHULI YA UKWEE'E WAALIKWA NGARINGARI NA NGUO NYEUPE, BI HARUSI PENDEZA SANA KUANZIA HAIRSTYLE, MAKEUP PAMOJA NA NGUO SMART ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 SWEET MAMA SIA AKIWA NA SIA
DECOR......////
 CAKE
 MC - MAMA SIMBA, MAMA YA KAMATIA CHINI
ROSELINE SIA AKIINGIA UKUMBINI
 SALA YA KUFUNGUA MAOMBI
INTRODUCTION......
CAKE
CHAMPAGNE
SADAKA GANDI AKITOA MADA.....
 MAMA MZAZI AKIONGEA NA BINTI YAKE
  MARGRETH DADA YAKE SIA AKIMPA NENO LA BIBLE 
 SISTERZ FOREVER
BURUDANI
 ROSELINE SIA AKIPEWA ZAWADI
MC MAMA SIMBA AKICHOMBEZA
 KAPU LA MAMA!!!
 DADA AKIMPA ZAWADI MDOGO WAKE
 KISHA AKAMKOSHA KWA MAHELA....
 MARGRETH AKATUNZWA
 MAMA AKITUNZWA
CAROL KIRITA AKIMTUNZA AMAMA
SIA AKIMTUNZ MAMA
SIA AKITOA ZAWADI
 CHAKULA
NYUSO
SISTERZ
MIE WANA KIBOSHO HIRLS..
BYE BYE


Post a Comment

0 Comments