FOOD TASTING EVENT!!!

NAPENDA KUWATAMBULISHA KWENU WAKALI WA KAZI ZA CATERING @GRACIOUS_CATERING SERVICES. YES NI KIKAZI ZAIDI, JUMAPILI HII WALIFANYA EVENT YA WATU KUONJA CHAKULA CHAO KWA SABABU WANAJIAMINI, EVENT HII PLANNED BY THEPLANNERTZ AMBAO WALIKARIBISHA WATU MBALIMBALI KUONJA CHAKULA, GRACIOUS_CATERING SERVICES NI WANATOA HUDUMA YA CATERING KATIKA EVENT MBALIMBALI  (WARSHA, MAKONGAMANO, SHEREHE ZA HARUSI, MISIBA N.K) WADAU PICHA ZINAONGEA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

MAWASILIANO               :: +255 713 354 575 / 755 856 665

JOKETI & FRIENDS

Post a Comment

0 Comments