JOKATE "KIDOTI" & MO DEWJI FOUNDATION WAKABIDHI UWANJA JANGWANI SECONDARY

Mrembo na Mjasiliamali kutoka Tanzania Jokate Mwegelo,hiileoAgosti 2, 2016amezindua rasmi uwanja wampira wa kikapu(Basketball) wa shule ya Sekondari Jangwani ya wanawake uliojengwa kupitia taasisi yake ya Kidoti foundation ikishirikiana na taasisi ya Mo- Dewji foundation.Uwanja huo ulioghalimu shilingi milionI 50 umezinduliwa na Sophia Mjema ambaye ni mkuu wa wilaya ya Ilala


Post a Comment

0 Comments